Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

Hizo fedha za tiketi angewanunulia facilities za kuwasaidia kujiingizia kipato katika shughuli zao za kila.siku.

Pesa sio kila kitu aisee akili pia ni muhimu.
Kila mtu anatoa alicho nacho pia ni vizuri ungekua mfano kwa wengine ukatoe hizo facilities watu waige kwako
 
YangaSCna mashabiki wao wana vituko kweli, kuna shabiki wao mmoja nadhani anatokea Kigoma au Mtwara na yeye ana tatizo la kutokuona lakini ukimsikiliza anavyochambua utadhani hana tatizo la kutokuona.

#WenyeAkiliNiWawiliTu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…