bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Kila mtu anatoa alicho nacho pia ni vizuri ungekua mfano kwa wengine ukatoe hizo facilities watu waige kwakoHizo fedha za tiketi angewanunulia facilities za kuwasaidia kujiingizia kipato katika shughuli zao za kila.siku.
Pesa sio kila kitu aisee akili pia ni muhimu.