Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

Dah Tanzania Ni nchi isiyo isha vituko 😀😀..

Sasa mtu haoni unampa Tiketi ya kwenda kuangalia mpira...
Hii ni sawa na kumnunulia Redio au sub woofer Kiziwi..
Halafu unajisifu...
 
Unaijua hii kitu nimeirudia kusoma zaidi ya mara Tano nikajua mimi ndo nimekosea Tafsiri..
Nikasema hapana ngoja niangalia comments..

Lakini Naomba nicomfirm kuwa wenye AKILI ni wawili tu Sunday manara na Mweshimiwa Rais Mstaafu
 
Dah Tanzania Ni nchi isiyo isha vituko [emoji3][emoji3]..

Sasa mtu haoni unampa Tiketi ya kwenda kuangalia mpira...
Hii ni sawa na kumnunulia Redio au sub woofer Kiziwi..
Halafu unajisifu...
Unajiita DR na huna akili! hao ndio watakua wa kwanza?
 
Wameomba wenyewe hata mm nimeshangaa lkn kumbe nao wanahisia yakujumuishwa
Iringa kama sikosei kulikuwa na shabiki mmoja wa mpira mwenye ulemavu wa kutoona na alikuwa hakosi mechi za timu ya Lipuli. Alikuwa anaandamana na jamaa mmoja ambaye alikuwa kazi yake ni kumwezea mpira unavyokwenda kwa mdomo.
 
Unaijua hii kitu nimeirudia kusoma zaidi ya mara Tano nikajua mimi ndo nimekosea Tafsiri..
Nikasema hapana ngoja niangalia comments..

Lakini Naomba nicomfirm kuwa wenye AKILI ni wawili tu Sunday manara na Mweshimiwa Rais Mstaafu
Kasome jamaa anaitwa Ronnie Wilkes hauta pata maswali mengi, labda kama umeamua kukaza shingo
 
Ni Africa pekee, akili ikizidi sana unakua ujinga
Screenshot_20231129-133325_Photos.jpg

Kama huyu kolo anaebadilishana jezi na mke,rage akukosea kuwaita mbu3
 
Kasome jamaa anaitwa Ronnie Wilkes hauta pata maswali mengi, labda kama umeamua kukaza shingo
Mkuu umechukulia sana serious ishu ya utani wa jadi 😅😅🤣🤣🤣 unafikir sijui au sitambui mashabiki wnye ulemavu
 
Sasa hawa hawaoni wakiingia wataenda kushuhudia nini? Offer nyingine ni changamoto sana
Duuh hii nayo ni kali labda hizo tiketi watawapa ndugu zao wenye kuona
Msitumie upendeleo wenu wa kuwa wakamilifu mkajisahau na kuleta dhihaka kwa wengine wenye ulemavu. Leo hii ukipofuka unaacha kushabikia kila kitu duniani kisa huoni?
Wanaosikiliza mpira redioni huwa wanaona mechi live?
 
Back
Top Bottom