Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

Eng. Hersi atoa tiketi za bure kwa watu wasioona

Neno "unyanyapaa" ni neno dogo sana ila lenye maana kubwa sana. Vipofu ni watu kama watu wengine pamoja na kuwa na changamoto za macho ila wanatamani wachangamane kwa mambo mengi kama walivyo wenzao wasio na ulemavu.

Wanatamani kwenda club, kwenda kwenda kwenye tamasha mbalimbali, wanatamani kwenda uwanjani kuambatana na wenzao katika kutoa sapoti kwa timu zao. Watanzania tumeongozwa na fikra za unyanyapaa na ndio maana wengi wameshangaa hili tukio la Hersi kutoa ticket. Hata wao ni binadamu, wanahitaji kufanya mnavyofanya nyie mlio wazima pamoja na ulemavu wao.
Nilichogundua wachangiaji wengine hawawezi kuishi na mtu mwenye mahitaji maalum. Wanadhani kwa kutokuona basi mtu huyo hastahili kutumia chochote kinachohitaji macho.
Kuna wasioona nawafahamu wanatumia kompyuta vizuri sana, shortcut nyingi wanazijua kuliko anayeona.
Sasa usipokuwa na upeo utajiuliza kuna maana gani ya kutumia wakati hata response ya unachobonyeza hukioni kwenye screen!
 
Si kwamba hawa elewi watanzania likifika swala la Simba na Yanga akili zinafyatuka
 
Sasa hawa hawaoni wakiingia wataenda kushuhudia nini? Offer nyingine ni changamoto sana
🤣🤣🤣 Tatizo la offer ni kulazimishwa kitu....wangelitoa kitu cha walau wasioona wawe na kumbukumbu ya kudumu kwa Club kubwa kama Young African
 
Iringa kama sikosei kulikuwa na shabiki mmoja wa mpira mwenye ulemavu wa kutoona na alikuwa hakosi mechi za timu ya Lipuli. Alikuwa anaandamana na jamaa mmoja ambaye alikuwa kazi yake ni kumwezea mpira unavyokwenda kwa mdomo.
Furaha jumuishi mboana wengi wanaebda kuangalia kwennye kibandaumiza kumbe nyumbani waweza angakia
 
Back
Top Bottom