Eng. Hersi bingwa wa kuvamia shughuli bila mwaliko

Kama ni kitu cha kawaida kakutane wewe na huyo Mbappe.
 
wewe hujaona mwaliko umewekwa hadharani?
 
Vilabu vikubwa kama Barcelona viwanja vyao pia vinatumika kwa utalii ,watu wanaruhusiwa kwenda kuangalia mafanikio ya timu, na historia. Kwahiyo tuliza huo mshono

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tuoneshe basi picha yako umeambiwa ambayo na wewe umepiga na hao ma Barcelona. Umesema ni rahisi kwa kila mtu sawa tunakubali ila tuoneshe basi na yako, mbona simple tu
 
Kwani shida iko wapi? Utakuja ufe bure na ugonjwa wa presha kwa sababu tu ya mambo kama haya.
 
Persuasion and networking skills is one of personal entrepreneurial competences, (trait) of successful entrepreneurs, Ni kanuni ama tabia mojawapo ya wajasiriamali waliofanikiwa duniani kama huna hata tabia moja huwezi kufanya biashara, nyingine inaitwa initiative, is to do something without being told or forced by event, ni kufanya jambo bila kuambiwa ama kusumwa na mtu yoyote yule,(kuthubutu), nyingine ni opportunity seeker,(kuzitafuta fursa), mjasiriamali ni lazima uzitafute na kuzifuata fursa ili ufanikiwe kwenye maisha na biashara, katu fursa haziwezi kukufuata hapo ulipo, usemi ufuatao itakufaa zaidi, shallow minds discuss events,
 
Mkuu mnatufanya hadi sisi mashabiki wa staarabu wa Simba tuonekane ma bwege.

Hichi ulichoandika ni ubwege na wivu wakike.
 
Wivu utakuua wewe, tafuta pesa ukapige picha Paris, London, California.
 
Acha kukurupuka wewe.
 
Naona hii imewauma,je siku akipata chance ya Rais ya FIFA ya kumgeukia Hersi katikati ya watu wa tano kama ilivyo kuwa kwa Jaribu Tena na kumwambia "Yanga anaupiga mwingi.....",si mtatukana page nzima.
 
Dah. Maisha haya yalivyo busy mtu anapata muda wapi wa kufuatilia mialiko ya watu.
 
Baelezee
 
Hersi mtoto wa mjini...anajua kutafuta fursa ...iwe Kwa kualikwa au Kwa Ku lazimisha ...la msingi kafanikisha
Kilimanjaro, Tanzania. Niliona anawalazimisha Naona wasingemshiti angeendelea na goli tano. Anaaibisha Kwa kweli hata kama ni kutafuta mafanikio lakini sio kuvamia shughuli na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…