Kwani wewe ndiyo mwajiri wake? Na kwa nini usimuite ofisini ili umuulize sababu ya yeye kusafiri na timu kila sehemu?huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Ofisi siku hizi inakaa kwenye simu tu, halafu elewa ofisi yake ni yanga kwahiyo yanga ikisafiri yeye akabaki basi ofisi ndio itakuwa imemuachahuyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
we inakuwasha nini?huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
C.E.O ndo mtendaji wa timu ndo anayekaa ofisinihuyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
muda mwingine huwa anakaa na dem wakoHuyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Ulitaka awe anaambatana na bibi yako uko mikoani?[emoji1745][emoji144]Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Wewe ni mke?yaani umeolewa na eng hersi?Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Umeshindwa kujibu maswali yangu, ukaona ukimbilie kwenye kutukana matusi siyo!kuku maji akili zimeishia hapo!
Kwani unateseka?Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?