Eng. Hersi kila sehemu lazima asafiri na timu? Kila game lazima awepo uwanjani?

Eng. Hersi kila sehemu lazima asafiri na timu? Kila game lazima awepo uwanjani?

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
 
Huyu mwamba kila mahali timu inaenda na yeye yumo! safari yoyote ya timu na yeye yumo? anakaa saa ngapi ofisini?
Ulitaka awe anaambatana na bibi yako uko mikoani?[emoji1745][emoji144]
 
Eng Hersi yuko uwanjani kuwapa hamasa vijana wake na kuhesabu unbeaten games zifike 100 this time maana ile unbeaten ya 50 tunajua mliivuruga!

Makolo mnataabika sana na bado hadi tuchukue misimu 5 ndo Rais atapumzika ili mfe kabisa !
 
Back
Top Bottom