Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Limaibiwa kombe la Dunia gold sembuse hilo la mbao mazee fatilia WC lilishawahi kuibiwa miaka ya nyuma huko..Hawa jamaa wanachekesha kama sio viongozi wa timu yako...
Kombe linaibiwaje likiwa garini?
Umenena jamboHii wiki inaweza kuwa na mambo makubwa sana hapa nchini kwetu sio bure. Kule baadhi ya wanachama wanataka kufanya mapinduzi na huku kwingine kombe limeibiwa. Muda ni mwalimu mzuri, tumpe nafasi.
Hata kombe la dunia lilishawahi kuibiwaHawa jamaa wanachekesha kama sio viongozi wa timu yako...
Kombe linaibiwaje likiwa garini?
Akili kama za mashabiki wa yangaHamna taji lililoibiwa ila ni kijembe kwa simba hiko😀😀,
Aahaaa,kwamba shamba la Bwanaheri na mbuzi wa BwanaheriKweli bongo mmeshindikana😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Ila siyo mbaya aliyeiba ni mwanayanga mwenzao. Kaamua akaitunze nyumbani kwake