Utopolo ni hivi kila mmoja anashinda kwake.Mnaongoza ngap makolooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo ni hivi kila mmoja anashinda kwake.Mnaongoza ngap makolooo
Hatujapokea kishika uchumba mkuu..ila upande wa pili washapokea mahari kabxaTutamposa manura
Sijui anachoogopa mkuu.Anaogopa nini sasa
Hata wachambuzi huwa wanataja timu wazi kabisa hawafichi eti kwakua pale wote wanafatilia soka.Kwa hiyo huijui timu iliyokosa nauli? Kama ni hivyo basi hufuatilii soka, sababu hata kama kipindi hicho ulikuwa unaumwa lakini baada ya kupona kwa mwanasoka lazima ungetafuta habari za wawakilishi wa kimataifa.