Eng. Hersi ni Bora zaidi kuliko John Bocco kwenye Soccer

Kwa hiyo huijui timu iliyokosa nauli? Kama ni hivyo basi hufuatilii soka, sababu hata kama kipindi hicho ulikuwa unaumwa lakini baada ya kupona kwa mwanasoka lazima ungetafuta habari za wawakilishi wa kimataifa.
Hata wachambuzi huwa wanataja timu wazi kabisa hawafichi eti kwakua pale wote wanafatilia soka.

Huo ni uoga, ukiitaja timu kuna shida gani ndgu??
Jenga hoja ijengeke sio michambo kaka
 
Mimi Ni Shabiki Wa Simba ila Umeongea Ukweli Ambao Najua Mashabiki Wenzangu Wa Simba Wataupinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…