GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Toka jana nina furaha isiyomithirika kaka na ni jana imenibidi nimpigie bwana makonda kumpa hongera ashinde asishinde ila furaha yangu ni asili kuturudishia mtu wetu .

Napigiwa simu leo na bro ananiambia mama yake na hako kajamaa kampigia analia anasema kwanini watu hawampendi mwanaye nikamuuliza umemjibuje anasema kamwambia ni fitina nikamkatia simu maana ilibidi amchane ujinga wa mwanaye tu .

Ijapokuwa nina furaha sana kwa hilo ila nina tanziko la nafsi na moyo na wasiwasi mkubwa baada ya kipara kukatwa nimejifikilia mara mbili naona giza mbele natamani nimpigie mzee marope kumuuliza kunani ila naogopa nitaanzaje yaani tafrani akili na moyo havina ushirikiano .

Ila yote kwa yote sasa hivi Arusha nitaingia kama mzawa simuogopi yeyote wala sicheki na wowote katuni mkuu kadondoshwa tayari

mama yake GAMBO alishariki muda sasa ni mama yake gani huyo analia
ukiwa CCM ubongo unageuka MAVI
 
Back
Top Bottom