Eng. Hersi Said anaingia moja kwa moja kwenye Vikao vya Kamati ya Utendaji ya Marais wa CAF kwa wadhifa wake mpya!

Na wewe unaamini hilo? Kwahiyo Mafanikio ya Mamelodi ni kwa sababu mmiliki ni Rais wa CAF si kwa sababu ya uwekezaji?
Waulize wenzio ambao wako na muhaho utafikiri huyo Hersi ni baba yao.

Nilichogundua wiki hii mashabiki wa Yanga wamevurugwa kweli kweli, stress ya zile 3 na hii ya kipigo cha kesho inawapeleka mbio mbio ndiyo maana kila siku shughuli.
 
Kwahiyo ni Boss mpaka wa Simba kwa sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unaelewa maana ya boss wa Simba?. Yule ni mwenyekiti wa chama sio Rais wa vilabu.
 
We ukimponda hersi au kipindi kile yanga wanamponda barbara walikua wanapunguza nini
Tanzania kuna ujinga sana
 
Unafikiri hata unavyowalalamikia utawapunguzia kitu we endelea kuwalalamikia
Watanzania tuache majungu sio mtaji
Mara namlalamikia, mara namponda, jomba vipi? Yanga mmevurugwa, ikifika kesho mida kama hii sijui mtakuwa kwenye hali gani
 
Sasa Kama mmekosa ata ivyo viti maalum ndio mjue viongozi wenu awajakidhi vigezo vya kuiongoza taasisi kubwa na kuingia kwenye vikao muhimu vya kimaamuzi
Suala sio kukidhi vigezo kafuatilie vizuri ilikuwaje
Club kubwa zote viongozi wake waligoma kuchukua wadhifa huo akiwemo try again alibakia hersi wakaona wampe
 
Suala sio kukidhi vigezo kafuatilie vizuri ilikuwaje
Club kubwa zote viongozi wake waligoma kuchukua wadhifa huo akiwemo try again alibakia hersi wakaona wampe
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ