SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Waulize wenzio ambao wako na muhaho utafikiri huyo Hersi ni baba yao.Na wewe unaamini hilo? Kwahiyo Mafanikio ya Mamelodi ni kwa sababu mmiliki ni Rais wa CAF si kwa sababu ya uwekezaji?
Nilichogundua wiki hii mashabiki wa Yanga wamevurugwa kweli kweli, stress ya zile 3 na hii ya kipigo cha kesho inawapeleka mbio mbio ndiyo maana kila siku shughuli.