Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Feisal hana bifu na Yanga bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (Eng Hers).

Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake?

Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe?

NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila shaka kuna kitu kikubwa nyuma ya pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.

NALIA NGWENA nitafurahi sana kama Eng HersI utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.

Nawasilisha hoja.
 
Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!

Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??

Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
 
Kumbe na wee Ni bwege huwa HV ujaona huyo dogo lengo lake Ni kumchamfuaa injini na gsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…