Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

Akili zenu zinawaza ushoga baadae mnasingizia wazungu" hio timu mchezaji ulikua peke yako kiasi kwamba huyo kiongozi akutake wewe tu?
 
TATIZO NI PALE MTU ANAPOVUNJA SHERIA FULANI,,, THEN ANAKUJA KUTAKA HURUMA YA JAMII.

WATANZANIA FUATENI SHERIA ZA MIKATABA YENU POPOTE PALE(MAKAZINI).

NA MJITAHIDI KUPATA ELIMU KIDOGO HIZI MAMBO ZA MIKATABA NA USIKUBALI KUSAINI KITU KAMA HUELEWI MEANS UNAKUTA LUGHA SI RAFIKI NA WEWE.

TUACHE KUISHI KWA MAZOEA.

NB: KWELI MTU ASHINDWE KUTOFAUTISHA 2 NA 3??
 
Yanga mna tabia mbayaa 🤣😂🤣😂
 
Michezo gani hiyoo mkuu sio mizur
Mtoto wa watu alikuwa anafunga migoli toka katikati ya uwanja wakimfanyia hivyo atapata wapi tena power ya kufunga magoli matamu kama yale,amefanya uamuzi wa busara kuukiambia usodoma wacha wabokoane wenyewe. Kabwili walimharibu hivi hivi mashetani wakubwa.
 
Evidence [emoji41]
 
Feisal ni mtu mzima na naamini ana akili timamu. Hivyo basi kuna kitu hakipo sawa hapo Yanga, haswa Raisi wenu. Isipokuwa unapokuwa unashindana na taasisi kubwa kama Yanga lazima uonekane una matatizo.

Haiwezekani aache Yanga tena kipindi iko vizuri ndani na nje ya nchi. Haiwezekani aache matunda/kivuri atimke pasipo sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…