Fala wewe huna akili ,na ukitaka kujua hilo rudia uharo wako wote unaocomment hapa .Kale ugali na Sukari huko....mwehu
Shukurani sana MbumbumbuSILI[emoji777]
SIRI[emoji3581]
Mbali na kosa hilo dogo la kiuandishi,leo ni siku uliyoongea kitu cha maana kuliko siku zote hapa jukwaani,
UNA KITU,UTAFIKA MBALI
Toa kinyeo chako hapa....katafute bwana mkatafute mtoto [emoji24][emoji24]Fala wewe huna akili ,na ukitaka kujua hilo rudia uharo wako wote unaocomment hapa .
Sijui ni la Saba C .huna akili pumba kabisa[emoji706]
Bahati mbaya zaidi ni pale hao TFF walipoamua kurudisha mahusiano yao na utopolo kwa kukandamiza haki ya Feisal wazi.Hii ishu ndio inayonifanya nishindwe kuiamini TFF kwenye baadhi ya mambo
Ukiangalia ishu ya Feisali kwa namna nyingine utaona TFF walitumia kama daraja kurejesha mahusiano yao na Yanga ambayo huko nyuma yalionesha kuwa na mgogoro
Kile kipindi ambacho hata humu mashabiki wa Yanga walikuwa wanatuita TFF Fc ndio kipindi ambacho hakukuwa na mahusiano kati ya Yanga na TFF
Mbona hasira utopolo🫣🫣jibu hoja[emoji1787][emoji1787]Wewe ndio takataka ambazo zikishavimbiwa mihogo tu basi kazi ya kuropoka tu.
Subirini tukose kombe ili mfurahi vizuri then rejoice na enemy of Yanga.
Una stress sana, mwarabu atakupunguzia jumamosi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata ukikazwa ni sawa tu, chaguo ni lako.
Wasomali wengi ni watu wa hovyo sana.Feisal hana bifu na Yanga Bali ana bifu binafsi na kiongozi wa Yanga (eng hers).
Je Umechukua mchumba wake (mpenzi) wake??
Nini umemfanya kijana huyu mpaka kuamua kabisa Bora aachane na mpira lakini siyo kufanya kazi na wewe??
NALIA NGWENA nimeweka pembeni ushabiki nimejiuliza sana haya maswali kwa jicho la tatu bila Shaka Kuna kitu kikubwa nyuma ya Pazia na bwana mdogo Feisal Salumu anafukia (anaficha) hataki kuweka wazi.
NALIA NGWENA nitafurahi sana Kama Eng hers utakuja hadharani kuzungumza nini ulichomfanya Feisal lakini usipojibu mashabiki tutabaki na mashaka makubwa na kuwa wachezaji wetu huko avic town Kuna Mambo ya ajabu wanafanyiwa.
Nawasilisha hoja.
Comrade nimepumnzika kidogo kwanza upepo upite.Comrade vipi leo hujatupia mkeka
Fafanua [emoji41]Wasomali wengi ni watu wa hovyo sana.
Nilie ili iweje...Umewahi kupata fursa kama hii ya kuruhusiwa kulia baada ya wewe kushindwa?
View attachment 2642632
Inawezekana aisee..aibu gani hiinasikia aliombwa ku afandewia ☹️☹️
kama kweli walikosea sana aiseeInawezekana aisee..aibu gani hii
Sanaaaa...kama kweli walikosea sana aisee
Kwenye hizo sajili ni Nan anamzid kiwango fei?
Muda mwingine watz tuache unafki kisa tu hatak kuendelea kuwepo yanga .
Mchezaj akiwa yanga anakua wa maana akitaka kutoka mnasahau Kila kitu ,huo ni ushamba na umaskin wa fikra
Wanayanga wamemtukana mama yake FeisalMtu akila ugali na sukari ni tusi kumbe.?
Wanayanga wamemtukana mama yake FeisalMtu akila ugali na sukari ni tusi kumbe.?
NakaziaaaNaunga mkono hoja yako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaaa jamaniiiiiHersi pale,huku Manara na Fri toto,ukewenza Una mambo