NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #141
Suala la kitaifa linaendelea mkuu.Tuache timu tumaliza jambo la kitaifa kwanza, hawa watu wamejipanga kuhakisha timu inakwenda kupoteza mechi, ni issue ya kujiuliza tu kwanini Fei na Genge lake hujitokeza pale Tanga anapokuwa kwenye mechi muhimu kama hizi.
Ndugu naona umeingia kwenye mtego wa hawa wahuni, wameona wakideal na Yanga as Taasisi hawatafanikisha sasa wameamua kudeal na Hersi kwani ameshaonekana ni mwiba.