Eng. Hersi Said (rais wa Yanga) umemtendea nini Feisal Salum mpaka akuone Kama kijipu chungu hataki kabisa kufanya kazi na wewe?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fungukenii wajaaa, tunaojua tuna zoom tyuuh.
 
Akili zenu zinawaza ushoga baadae mnasingizia wazungu" hio timu mchezaji ulikua peke yako kiasi kwamba huyo kiongozi akutake wewe tu?
Mbna wapo wengi pale upindeee.
Kabwili alitutajia wote chimbooo, kuna m1 ni mchicha mwiba anakulana na jamaa anafanya kazi Kkoo, kwani siri sasa???
 
Kwahiyo Eng Hersi mbaya kwake tu? Kabla ya Kuja vyuma Fei alikuwa anajiona MWAMBA baada ya Eng Alhaj Hersi kuleta Vyombo hatari FEI anaona wivu na kuanza kuleta MBAMBAMBA.
Mchezaji gani wa kumzidi Fei kiwango? Tena kwa position yake uwanjani?? Acha chuki kwakee bhanaa,
Muacheni mtoto wa watu aindokee, Fei Rais hamtakii, alimtakaa yulee mchezaji mwenzake.

Msitakee tuongee yote, maana kabwili alitupa mkeka wote chimboooo.
 
Fei hamtaki Rai, kwan mapenzi lazima? Kwa yule jamaa walianza hivi hivi, sema yule mgeni na exposure akatumia akili kutoka.

Huyu mzawa ndo wakaona wamuumize kihivyo.
Kabwili alisemaa itafika wakati itajulikanaa tyuuh.
Mgeni ni yule kutoka Drc? Yule mrefu?

Kati ya fei na rai, nani ni nani? Namaanisha mpandwa ni yupi?
 
Mbna wapo wengi pale upindeee.
Kabwili alitutajia wote chimbooo, kuna m1 ni mchicha mwiba anakulana na jamaa anafanya kazi Kkoo, kwani siri sasa???
Sometimes jifunze kua na hekima either unayajua au hujui kukaa kimya haiku gharimu kitu una accuse watu ili upate nini? hizi timu zisitufanye kuvunjia watu heshima! Japo mimi sio shabiki wa Simba siwezi kumu attack mtu wa Simba kwa kumchafua imradi tu ushabiki
 
Mchezaji gani wa kumzidi Fei kiwango?
Kiwango cha kushinda mahakamani?
Kuna kazi za michezo active
Unatakiwa uwe dimbani mda wote.
Mike Tyson alikaa benchi kwa kesi ingine kabisa.
Ukija Ufc
Francis Nganou kapigwa benchi baada kuleta politic Ufc.
Kuna huyu tapeli mpiganaji Mayweather ananunua mtu wa kupigana nae..
Badae anastaafu anarudi
Michezo unatakiwa kuwa active
mda wote
sio kulialia tu na mahakama.
Hapo sasa kuna timu itamtaka?
Kesho ukimkuta kko anauza maji

viroba usishangae.
Kashaanza kuomba michango
 
Amijei kashapagawa ,anataka hadi GSM aondoke 😀 😀 sasa sijui nani atakuwa anadhamini yanga.

Unawajua waliomzidi ila unajitoa ufahamu ,Hersi ndiyo aliyoleta mafanikio yanga haiwezekani aondoke kwa ajili ya AMIJEI ,ni Bora mla UROJO aondoke yeye!!

Mbona hapa kabwili hausiki au ni TEAM moja na wewe Mkameruni?
 
Unaweza vipi kutupa deep freezer kwa ajili ya dell la kuweka barafu?
 
Yaani wachezaji wote mpaka wa Yanga Princes hawana bifu na Eng Hers...!!!

Yeye tu...ndio anachukiwa....!!??

Apeleke upuuzi wake kwa mama Ake...
Wewe ni mchezaji wa Yanga, ujajuana na wachezaji wote wa Yanga au wewe ndo Hers mwenyewe??
 
Tuache timu tumalize jambo la kitaifa kwanza, hawa watu wamejipanga kuhakisha timu inakwenda kupoteza mechi, ni issue ya kujiuliza tu kwanini Fei na Genge lake hujitokeza pale Yanga anapokuwa kwenye mechi muhimu kama hizi.

Ndugu naona umeingia kwenye mtego wa hawa wahuni, wameona wakideal na Yanga as Taasisi hawatafanikisha sasa wameamua kudeal na Hersi kwani ameshaonekana ni mwiba.
 
Huyo ni mpumbavu tu sawa na wapumbavu wenzake.

Mwana Yanga wa kweli hawezi kuingia kwenye mtego wa maadui wa Yanga wakati timu IPO vitani.

Wasengerema tu hao.

Kinachowauma Simba ni hiki.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685678819686.jpg
    33.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…