NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #141
Suala la kitaifa linaendelea mkuu.Tuache timu tumaliza jambo la kitaifa kwanza, hawa watu wamejipanga kuhakisha timu inakwenda kupoteza mechi, ni issue ya kujiuliza tu kwanini Fei na Genge lake hujitokeza pale Tanga anapokuwa kwenye mechi muhimu kama hizi.
Ndugu naona umeingia kwenye mtego wa hawa wahuni, wameona wakideal na Yanga as Taasisi hawatafanikisha sasa wameamua kudeal na Hersi kwani ameshaonekana ni mwiba.
Mbona hakuwahi kulalamika huko nyuma kuwa Hers kamfanya vibaya...Kwani Simba ndiyo walimtuma Hersi ambashie Feisal?
Toka umeanza kutukana matusi yamekusaidia nini tatizo unaongozwa na hisiaHuyo ni mpumbavu tu sawa na wapumbavu wenzake.
Mwana Yanga wa kweli hawezi kuingia kwenye mtego wa maadui wa Yanga wakati timu IPO vitani.
Wasengerema tu hao.
Kinachowauma Simba ni hiki.
Na huko tunakokwenda itafika wakati atafunguka kweli.Mambo yao tuwaachie wenyewe, kwahiyo unangoja atoke hafharani aseme alimfanyia nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fungukenii wajaaa, tunaojua tuna zoom tyuuh.
Sisi tunangoja kesi zianze kurindima sio maneno ya kupandikizwaNa huko tunakokwenda itafika wakati atafunguka kweli.
Sasa tujiepushe na hizi spinning za kututoa mchezoniSuala la kitaifa linaendelea mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Kabwili alipo sema kawaacha wengi palee alipo hojiwa, hadi wakamzibaa mdomo, nitolee ashuo zakoo hapa.Sometimes jifunze kua na hekima either unayajua au hujui kukaa kimya haiku gharimu kitu una accuse watu ili upate nini? hizi timu zisitufanye kuvunjia watu heshima! Japo mimi sio shabiki wa Simba siwezi kumu attack mtu wa Simba kwa kumchafua imradi tu ushabiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchezaji gani wa kumzidi Fei? Sasa km wapoo mbna mna bania yeye kuondokaaa?? Ila Yanga bhanaa mnachekeshaaa kweli.Amijei kashapagawa ,anataka hadi GSM aondoke 😀 😀 sasa sijui nani atakuwa anadhamini yanga.
Unawajua waliomzidi ila unajitoa ufahamu ,Hersi ndiyo aliyoleta mafanikio yanga haiwezekani aondoke kwa ajili ya AMIJEI ,ni Bora mla UROJO aondoke yeye!!
Mbona hapa kabwili hausiki au ni TEAM moja na wewe Mkameruni?
Sasa km hapo Yanga kuna wachezaji wa kumzidi Fei kiwango, mbna mna bania yeye kuondokaa zakee??Kiwango cha kushinda mahakamani?
Kuna kazi za michezo active
Unatakiwa uwe dimbani mda wote.
Mike Tyson alikaa benchi kwa kesi ingine kabisa.
Ukija Ufc
Francis Nganou kapigwa benchi baada kuleta politic Ufc.
Kuna huyu tapeli mpiganaji Mayweather ananunua mtu wa kupigana nae..
Badae anastaafu anarudi
Michezo unatakiwa kuwa active
mda wote
sio kulialia tu na mahakama.
Hapo sasa kuna timu itamtaka?
Kesho ukimkuta kko anauza maji
viroba usishangae.
Kashaanza kuomba michango
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba uniachee, waulize Fei na Hersi wao wana majibu yotee.Michezo yako tena, wewe unaona sawa tu
We bibi, mi hata huo mpira sijui unachezwaje,niliacha baada kumvunja mtu ugoko nikiwa na miaka 10 tu.Sasa km hapo Yanga kuna wachezaji wa kumzidi Fei kiwango, mbna mna bania yeye kuondokaa zakee??
Mbna hata hamuelewekiiiii nn mnatakaa nyiee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba uniachee, waulize Fei na Hersi wao wana majibu yotee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchezaji gani wa kumzidi Fei? Sasa km wapoo mbna mna bania yeye kuondokaaa?? Ila Yanga bhanaa mnachekeshaaa kweli.
Mumuachee aondokeeee zakee, mnamtakaa wa nn na yeye kasema hataki kucheza hapo km wako watesi wake wapooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unapata faida gani kuchafua watu humu? either wanafanya au hawafanyi can't you mind your own business? thread imegeuka kua mambo ya ushoga why don't you behave like a man?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Kabwili alipo sema kawaacha wengi palee alipo hojiwa, hadi wakamzibaa mdomo, nitolee ashuo zakoo hapa.
Wanatakaa wako wenyewe yawe makubwaa, si wamuachee Fei asepeee. Shida nn??
SI KI HIVYO KAMA UNAVYOFIKIRI, HUTOKI KAMA UNATOKA CHOONI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchezaji gani wa kumzidi Fei? Sasa km wapoo mbna mna bania yeye kuondokaaa?? Ila Yanga bhanaa mnachekeshaaa kweli.
Mumuachee aondokeeee zakee, mnamtakaa wa nn na yeye kasema hataki kucheza hapo km wako watesi wake wapooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna hata unacho kijua wee, bora ukae kimyaa tyuuh.SI KI HIVYO KAMA UNAVYOFIKIRI, HUTOKI KAMA UNATOKA CHOONI.
LAZIMA TARATIBU ZIFUATWE.
NA WALIPEWA TARATIBU ZOTE A,B NA C.
TATIZO KIJANA WENU ANAENDESHWA NA GENGE LISILOPENDA MAFANIKIO YA YANGA KWA MIAKA HII.
LAZIMA UFIKIRI NJE YA BOX KIJANA MDOGO