Hersi inabidi asaidiane na Mama Mwaikenda kama Vice/Deputy wake. Nimemsikiliza jana bado ana mihemko ya ujana. Vilabu hivi viwili vinahitaji sana busara na uzoefu.point moja nimeshika kuwa usajili ni kamari utajaza majina makubwa yanayoishia kuwa majeruhi na kuflop kushindwa kupafomu kama kule Kolo FC usajili uliopita ni majanga tupu hela yao ya usajili woooote imeliwa bure!!pesa ya waganga wa Kolo Fc imeliwa na Barabara nae kapiga zake!! uwekezaji wote = zero! Makombe yote kabatini Jangwani!!
Hersi tunamkubali sana ila kibinadamu inabidi awe makini na kauli za kuvunja moyo wachezaji, si vibaya akipitia video zote za Cedric Kaze zile anazoongea kabla ya mechi, jamaa anajua kutia moyo, mchezaji lazima apate morali
ndio uwezo wako unapoishia. Yaani unamwambia mke wako kuwa nitaoa mke mwingine mzuri na mwenye akili na kujua kupika kuliko wewe. Hiyo labda huko Somalia, congo na kwingine ambako kupigana sio jambo la kutisha sanaHill lipo wazi duniani kote kila mchezaji ana level yake na tutasajili mchezaji mwenye uwezo zaidi ya waliopo kwasasa
Yanga sisi hatuna unafiki kama nyie makolo.... Huwezi kumsajili Akpan kutoka Pangani Tanga ukategemea akufikishe semi final kama ilivyo malengo yenu
Kama uwezo umeshuka humpi mkataba mwingine, unamuondoa taratibu bila kusema maneno mengi. Unaweza kumuacha mchezaji ukidhani kuwa ameshuka lakini akaenda timu nyingine akakiwasha. Hivyo, huna sababu ya kumtangaza hadharani kuwa Lukaku kiwango chake kimeshuka. It is very very very unprofessional kusema nitasajili mchezaji bora kuliko Mwamnyeto. Wewe na benchi lako la ufundi fanyeni scouting zenu vizuri, mleteni kisha watu ndio watasema mpya ana uwezo kuliko wa zamani.Hahahaa inachekesha sana Simba wamegeuka kuwa washauri kwenye uchaguzi huu wa Yanga Ukiangalia wengi wanaoleta agenda zao humu ni majamaa wa Simba.
Kosa la injinia Hersi Said Mr President ni lipi Mbona tunaona makocha Ulaya wanasema Mchezaji flani kiwango kimeshuka Soka limekua zile dhama za kubembelezana zimeisha.
Ni ukweli usiopingika lazima usajili mchezaji mwenye kiwango zaidi ya aliyepo ili kuleta ushindani mfano Yanga hatuna winger wazuri so Morrison is Better than Chiko na Moloko.
Simba tulieni bana.
Sawa Mamandio uwezo wako unapoishia. Yaani unamwambia mke wako kuwa nitaoa mke mwingine mzuri na mwenye akili na kujua kupika kuliko wewe. Hiyo labda huko Somalia, congo na kwingine ambako kupigana sio jambo la kutisha sana
Sio Simba ni sisi wenyewe wananchi tunaoitazama timu yetu inakoelekea. Tunataka timu ambayo Haina viongozi wa kirafiki, kidini moja, jinsia moja, kabila moja Wala ukanda Wala uchama wa siasa.Hahahaa inachekesha sana Simba wamegeuka kuwa washauri kwenye uchaguzi huu wa Yanga Ukiangalia wengi wanaoleta agenda zao humu ni majamaa wa Simba.
Kosa la injinia Hersi Said Mr President ni lipi Mbona tunaona makocha Ulaya wanasema Mchezaji flani kiwango kimeshuka Soka limekua zile dhama za kubembelezana zimeisha.
Ni ukweli usiopingika lazima usajili mchezaji mwenye kiwango zaidi ya aliyepo ili kuleta ushindani mfano Yanga hatuna winger wazuri so Morrison is Better than Chiko na Moloko.
Simba tulieni bana.
Mayele anajiona au nyie mashabiki wa Yanga ndio mnaye mkuza na kuonekana yupo juu sana kuliko hata George Mpole?Mimi ni Yanga lialia ila Hersi yuko sahihi!anawaambia ili wajitume!wasibweteke!!limtu kama Mayele anajionaga kama CR7 hivi jinsi anavyojiona yuko juu!!
Bora hata alivyokosa Kiatu cha ufungaji bora maana angezidi kujiona keki ya Marble[emoji3]wakati hata Inonga tu anamtoa jasho la meno wakikutana je kimataifa na miamba kama al ahly atawaweza?!
Kiongozi mkubwa kama Rais anayo lugha yake ya kusema na ni Bora kuliko mwingine. Lugha yake Iko Kwenye mikataba Yao na malipo ya wachezaji TU baasi. Hizi lugha nyingine za mdomoni tuachie sie tuseme.Yanga wenzio washakua mazuzu, kila anachofanya Hersi ni sawa kwao
Yanga wenye akili ni kikwete,kavulata na babayangu(Manara,2021).umeongezeka kwenye listi[emoji23][emoji23]Usajili wa wachezaji wageni: Kutumia social media kusema kuwa kila mchezaji mpya unaemsajili ni Bora kuliko aliyeko kwenye position Sasa sio lugha sahihi kutumiwa na kiongozi mkubwa ndani ya Yanga. Inawezekana hiyo ndiyo falsafa sahihi ya kusajili mchezaji mpya kwenye timu lakini sio lazima kiongozi aitamke hadharani na kwenye social media kwakuwa hii inavunja moyo wachezaji walioko kwenye nafasi hiyo Sasa.
Usajili ni kama kamali unayemleta anaweza asiwe Bora uwanjani kuliko uliyenae. Ni kweli kinadharia mchezaji mpya lazima awe Bora kuliko aliyeko lakini kiongozi mkubwa kama Rais wa club hapaswi kunena hayo kwa wachezaji wake waliomsaidia kuifikisha timu hapo ilipo. Kwanini mchezaji mpya kasajiliwa na wa zamani kaachwa au kaongezewa mtu mwingine inapaswa kuwa ni Siri ya jando ya bench la ufundi na uongozi, haizungumzwi hadharani. Wacha wadau wakapime wenyewe kazi zao uwanjani badala ya wewe kubeza walioko.
Naomba mfanye vitu kitaaluma, punguzeni mihemko mnapopata nafasi ya kuongea na wanahabari. Tafakarini athari kabla ya kusema chochote kwenda hewani
Kambole yuko wapi?
Sidhani kama kimataifa pia wako vizuri, maana wasingelazimika kuwasha moto wa kishirikina uwanjani na kumulika vitochi usoni wenzao. Kifupi walitumia fitna za mpira kufika pale walipofikaUnaposema simba haikuwa bora unalinganisha na mechi za matopeni a.k.a ligi kuu au kimataifa?.
Mimi nafikiri mpira ws bongo una hila nyingi.
Haiwezekani simba hiyo hiyo ipafomu vizuri kimataifa lkn nyumbani iwe mlenda...labda ni mambo yao ya kibongo, mambo ya dumba huenda wanashea mganga ndio anaamua msimu huu ni wa timu flani😂😂
NakaziaNaunga mkono hoja kwa 100%
Kambole majeruhi aliumia mazoeziniKambole yuko wapi?