UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
Hivi kweli mleta mada uko serious au unatania?.
Kwahiyo ulitaka Yanga wakisajili kwa mfano mshambuliaji walete mwenye kiwango sawa na mayele au aliyezidiwa kiwango na mayele?.
Unapofanya usajili ni lazima ulete mchezaji mzuri kuliko anayecheza nafasi husika!,sasa hapo kosa la Hersi ni lipi?
Kwahiyo wewe utakuwa na furaha kuona Hersi anasema ataleta mchezaji ambaye hana kiwango kama cha mchezaji aliyepo?