Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Watanzania hatuna subira.
Yanga ilikuwaa imechoka si ndani si kimataifa. Mtaka wonders tu kama kwa mwamposa.
Kila kitu kina stages
Hapana! Kila yanga anaamini yupo kwenye nafasi nzuri msimu huu wa kufuzu makundi!
Lakini nashangaa kuuona ule utopolo umerudi tena
 
Hapana! Kila yanga anaamini yupo kwenye nafasi nzuri msimu huu wa kufuzu makundi!
Lakini nashangaa kuuona ule utopolo umerudi tena
Sasa jiulize hiyo nafasi nzuri unayoiona nani wameifanya iwepo na kabla ya wao kutia pesa hiyo nafasi ilikuwepo?
 
Habarini wanajangwani wenzangu

Tunajenga kikosi cha aina gani!?
Kwa nini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!?
Hapana.
Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka benchi la ufundi
Tunahitaji kikosi kitakachotoa upinzani kwa timu za kimataifa na si kutamba ligi kuu peke yake

Kuna muda najisikia wivu navyoona wenzetu simba wanavyotinga mpaka hatua za robo fainali michuano ya Africa lakini nabaki sina namna, kwa sababu yanga niliirithi mwenyewe kwa baba angu

Ila ni mpaka lini tutaitwa majina ya kukera na wapinzani huko mitaani kama wamatopeni, utopolo, chura fc, wazee miamala nk

Yaani kila siku yanga ndo iwe timu ya kubinuliwa na wapinzani kimataifa, HAPANA IMETOSHA SASA

Naanza kuamini viongozi mnafanya tabia chafu za kununua mechi za ligi kuu, maana haiwezekani michuano ya nje ndo tushindwe ila ya ndani tumudu

Kwa pamoja tushirikiane kuutoa huu uongozi madarakani, ikiwezekana wanajangwani tusiende uwanjani maana ndo kunapowapa viburi.

Tunaomba mtuachie timu yetu,
Daima mbele nyuma mwiko
We kolo kaa kwa kutulia boya wewe, tuachie Yanga yetu we ganga ya kwako huko Angola hujajua hata unatokaje.

Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
 
Kaka senzo HAYUPO utopoloni alishajivua.
Mimi Nina ombi moja kwa nabi na kule sudan akamuweke mdaka mishale.
Sema Simba tusijisahau mwenzio akinyolewa...
 
Sasa jiulize hiyo nafasi nzuri unayoiona nani wameifanya iwepo na kabla ya wao kutia pesa hiyo nafasi ilikuwepo?
Hapana kaka, tutasubiri mpaka lini!!? Ina maana nyie yanga wenzangu mnakubali kila siku kubinuliwa kwenye michuano ya kimataifa
 
Hapana kaka, tutasubiri mpaka lini!!? Ina maana nyie yanga wenzangu mnakubali kila siku kubinuliwa kwenye michuano ya kimataifa
Timu ilikuwa imechoka sasa ndo inaanza kuonyesha nuru kwa shortcut ndio maana hata taifa stars haifanyi poa kwasababu tunataka matokeo ndani ya muda mfupi badala ya kuwekeza kwa malengo
 
Timu ilikuwa imechoka sasa ndo inaanza kuonyesha nuru kwa shortcut ndio maana hata taifa stars haifanyi poa kwasababu tunataka matokeo ndani ya muda mfupi badala ya kuwekeza kwa malengo
Ina maana simba iko vizuri kuzidi Yanga!!? Mbona wao wanafanya vizuri kila kukicha!!??
Mbona huwa tunawafunga sana!!??
 
Hawa sawa Yao nikuwapakia kwenye basi mpaka sudan
 
Back
Top Bottom