Eng. Hersi, Senzo na Kocha Nabi tunaomba mtuachie klabu yetu!

Uto mwenzio kachanganyikiwa na kipigo, wewe unaonekana una afadhali umeshazoea vipigo vya CAF...!!
Ngoja tusubiri kesho mrudi na Furushi la 0:2
 
Watanzania hatuna subira.
Yanga ilikuwaa imechoka si ndani si kimataifa. Mtaka wonders tu kama kwa mwamposa.
Kila kitu kina stages
Hapana! Kila yanga anaamini yupo kwenye nafasi nzuri msimu huu wa kufuzu makundi!
Lakini nashangaa kuuona ule utopolo umerudi tena
 
Hapana! Kila yanga anaamini yupo kwenye nafasi nzuri msimu huu wa kufuzu makundi!
Lakini nashangaa kuuona ule utopolo umerudi tena
Sasa jiulize hiyo nafasi nzuri unayoiona nani wameifanya iwepo na kabla ya wao kutia pesa hiyo nafasi ilikuwepo?
 
We kolo kaa kwa kutulia boya wewe, tuachie Yanga yetu we ganga ya kwako huko Angola hujajua hata unatokaje.

Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
 
Kaka senzo HAYUPO utopoloni alishajivua.
Mimi Nina ombi moja kwa nabi na kule sudan akamuweke mdaka mishale.
Sema Simba tusijisahau mwenzio akinyolewa...
 
Sasa jiulize hiyo nafasi nzuri unayoiona nani wameifanya iwepo na kabla ya wao kutia pesa hiyo nafasi ilikuwepo?
Hapana kaka, tutasubiri mpaka lini!!? Ina maana nyie yanga wenzangu mnakubali kila siku kubinuliwa kwenye michuano ya kimataifa
 
Hapana kaka, tutasubiri mpaka lini!!? Ina maana nyie yanga wenzangu mnakubali kila siku kubinuliwa kwenye michuano ya kimataifa
Timu ilikuwa imechoka sasa ndo inaanza kuonyesha nuru kwa shortcut ndio maana hata taifa stars haifanyi poa kwasababu tunataka matokeo ndani ya muda mfupi badala ya kuwekeza kwa malengo
 
Timu ilikuwa imechoka sasa ndo inaanza kuonyesha nuru kwa shortcut ndio maana hata taifa stars haifanyi poa kwasababu tunataka matokeo ndani ya muda mfupi badala ya kuwekeza kwa malengo
Ina maana simba iko vizuri kuzidi Yanga!!? Mbona wao wanafanya vizuri kila kukicha!!??
Mbona huwa tunawafunga sana!!??
 
Hawa sawa Yao nikuwapakia kwenye basi mpaka sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…