Eng Hersi: Tunaenda Kuwa Klabu Ya Kwanza Kusajili Mchezaji Kutoka Uingereza.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Sio maneno yangu bali ni CAAMIL8 mwenyewe.


“Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza TZ. Tunaleta vyuma vitatu na watu hawataamini.”
 
Tusubiri tuone daima mbele nyuma mwiko.
 
kupoteza hela tu na fix kedekede. Jengeni uwanja boresheni ofisi za timu. Jali maslah ya wachezaji,tafuteni mbinu za kuepuka utegemezi kwa wafadhili


[emoji23][emoji23]
 
Kama ni walio wahi kucheza kwenye epl hapo inawezekana lakini waliopo sasa epl kusajiliwa uto haiwezekani.

Kumsajili Asamoa Gyan au Muntari inawezekana maana hawana timu ulaya na mfano Muntari anacheza ligi ya kwao Ghana.
 
Yanga ijikite kwenye kusajili wachezaji wanaofaa kutupeleka mbali kimataifa msimu ujao. Hizi siasa za kuturusha kusajili wachezaji kutoka EPL, waachane nazo.

Viongozi wakumbuke sisi siyo mbumbumbu.
Viongozi wenu wanajua nyie ni nyani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…