Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia huyo mchezaji aliwahi cheza RAYO VALLECANO.
Hata mimi siamini aisee! Wangekuwa ni wale mashabiki wa upande wa pili, nadhani wangeamini tu kirahisi.Pamoja na Uyanga wangu ila hii kamba.....labda madaraja ya mchangani pale England
Dah!..Simba tujipange maana huko madimbwini kumekucha.Sio maneno yangu bali ni CAAMIL8 mwenyewe.
“Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza TZ. Tunaleta vyuma vitatu na watu hawataamini.”
Sisi siyo Ndiyo mzeeHata mimi siamini aisee! Wangekuwa ni wale mashabiki wa upande wa pili, nadhani wangeamini tu kirahisi.
Maana hata yule kocha wao waliyepigwa kamba na tajiri wao kipindi kile, waliamini faster tu.
Sio maneno yangu bali ni CAAMIL8 mwenyewe.
“Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza TZ. Tunaleta vyuma vitatu na watu hawataamini.”
Tusubiri tuone daima mbele nyuma mwiko.Sio maneno yangu bali ni CAAMIL8 mwenyewe.
“Wananchi, tumefanya usajli wa maana, tunaenda kuweka historia kuwa club ya kwanza Tanzania kuleta mchezaji kutoka ligi kuu ya Uingereza kuja kucheza TZ. Tunaleta vyuma vitatu na watu hawataamini.”
ahhahhPamoja na Uyanga wangu ila hii kamba.....labda madaraja ya mchangani pale England
[emoji23][emoji23][emoji23]England ya ChatoooooLabda england ya katavi
Viongozi wenu wanajua nyie ni nyani!Yanga ijikite kwenye kusajili wachezaji wanaofaa kutupeleka mbali kimataifa msimu ujao. Hizi siasa za kuturusha kusajili wachezaji kutoka EPL, waachane nazo.
Viongozi wakumbuke sisi siyo mbumbumbu.