Eng. Hersi uko wapi?

Mimi ni Yanga ila kama ni kweli wachezaji wa ndani ni underpaid tunafanya kosa kubwa sana. Hawa ndio wanaijua kilimanjaro, vodacom na NBC premier ligi inayotupeleka kimataifa hawastahili kubaniwa malipo hata kidogo.

Feisal ana haki ya kufuata mshaharax3 japo anarudi nyuma ki-career ila tujitafakari kabla hatujapoteza beki zetu za 1st eleven pia
 
Anafuataje huo mshahara?..
Wakati anasaininmkataba hakujua kuwa ni underpaid?

Mshahara unajdiliwa kwa mkataba mpya. Alikubali kukaa 4yrs kwa huo mshahara.
Mengine ni Wivu na hasadi zinawasumbua waTz
 
Na yeye amejifungia analia, haelewi nini kimetokea!! [emoji23][emoji23][emoji23] Kwa kifupi, na yeye amepokea kitu kizito!!
 
Acha ujinga... Wachezaji wandani kiwango kidogo mnoooo..

Huko Azam Fei utashangaa ...ni Mchezaji dhaifu tu
 
Hata mimi siridhishwi na namna wazawa wanavyo wanavyo lipwa tofauti na wageni, lakini mifumo yetu ikoje hasa kwenye mkikataba? Sisi Watnzania kwa kawaida tunapatana mwanzo na kugombana baadae.
Tunaingia mikataba kwa kuangalia mslahi ya muda mfupi badala ya kuangalia mslahi mapana. Vitu kama nyumba, ongezeko la mshahara, usafiri havkutakiwa kuwa huruma, vilipaswa kuwa kwenye sehemu ya mkataba.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Eng Hersi anapaswa kumfanyia Feisal urahisi wa kutoka maana Yanga ina bunduki nyingi hakuna pengo ataacha na kwa vile mfumo wa uchezaji wa Yanga ulimbeba Fei ila sioni akipafomu Azam labda kama Azam wachukue pia Farid, Aziz K, Aucho na Sureboy.

Msimu mmoja tu Feisal atakuwa tajiri ila ata flop Azam na ataomba kurudi Yanga maana hatopata chances za kufunga za mpira wa Prof Nabi, wanaorekodi comments wekeni hii
 

Sureboy katokea wapi?
Ikumbukwe kwenye kombe la Azam msimu wa 2019/2020, Yanga ikiwa tia maji tia maji ilifungwa 4-1 na Simba. Hilo goli la kufutia machozi Yanga walilipata kupitia kwa Feisal. Hivyo siyo kweli kwamba Feisal amekua bora kwa sababu ya Yanga, bali tukubali tu kuwa dogo ana kipaji!
 
Mimi nimeanza kuangalia mpira ligi kuu nikienda uwanjani nina miaka 6 nabeba viatu vya wachezaji!

Timu zinaroga klabuni kabla ya kwenda uwanjani kucheza mechi nipo klabuni mtoto mdogo ninaona!!miaka ya 1970s and 1980s hadi leo!!

Yaani soka la bongo nalijua haswa! Azam hawachezi mfumo wa Yanga wa kutegemea kupasua katikati na winga, wana mpira wao wanaujua wenyewe, Feisal nakubali ana kipaji ila mfumo ulimbeba Yanga sasa kama akipafomu Azam kwa kiwango sawa au kuzidi akiwa Yanga nitag kisha

1.unitumie akaunti ya benki academy anakosoma mwanao nilipe ada million kumi
2.unitumie namba ya cm niwe najaza bando lako la kuperuzi JF mwaka mzima
3.nahamia Kolo fc hata kama kwasasa wanacheza kama wako ndondo cup kiwango hamna tegemeo Phiri kavunjika magongo kapewa na jamaa flani huwa wanafanya ile michezo ya mangongoti!!

Muda utaongea!
 
Hata asipo perform tatizo lenu nyie ni nini , kwa hiyo ange baki Yanga ili tu performance yake iwe kubwa halafu pesa wanakula wachezaji wageni tu ? Ni sawa Fei toto kulipwa 4m wakati Aziz Ki analipwa 23m , wewe unaona kuna usawa hapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…