Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uwezo,jeuri hiyo kucheza na kuishi njeFei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Anafuataje huo mshahara?..Mimi ni Yanga ila kama ni kweli wachezaji wa ndani ni underpaid tunafanya kosa kubwa sana. Hawa ndio wanaijua kilimanjaro, vodacom na NBC premier ligi inayotupeleka kimataifa hawastahili kubaniwa malipo hata kidogo.
Feisal ana haki ya kufuata mshaharax3 japo anarudi nyuma ki-career ila tujitafakari kabla hatujapoteza beki zetu za 1st eleven pia
Huwez kwenda tu bila utaratibu..Hata kama ni wewe na mama zako mngekukataa kupokea 300m kwa sababu ya upuuzi wa kubakia Yanga?
Utaratibu upi? Taarifa zinasema katumia mapungufu yaliyopo kwenye mkataba. Kalipa pesa ya usajili na mshahara. Mnavyodanganywa nyinyi Uto sio kila mtu mnaweza kumdanganyaHuwez kwenda tu bila utaratibu..
Msisahau klabu pia zina haki zao
Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
acha aende akashushe hadhi ila anapiga pesa ya maana. Yaani awafurahushe utopolo halafu aache pesa??Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Watu wanaangalia hela million 20 kutoka million 4 we huoni gap hilo unataka kijana awe omba omba baadae baada ya kustaafuFei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Ila simba abaki?Hata kama ni wewe na mama zako mngekukataa kupokea 300m kwa sababu ya upuuzi wa kubakia Yanga?
Acha ujinga... Wachezaji wandani kiwango kidogo mnoooo..Mimi ni Yanga ila kama ni kweli wachezaji wa ndani ni underpaid tunafanya kosa kubwa sana. Hawa ndio wanaijua kilimanjaro, vodacom na NBC premier ligi inayotupeleka kimataifa hawastahili kubaniwa malipo hata kidogo.
Feisal ana haki ya kufuata mshaharax3 japo anarudi nyuma ki-career ila tujitafakari kabla hatujapoteza beki zetu za 1st eleven pia
Hata mimi siridhishwi na namna wazawa wanavyo wanavyo lipwa tofauti na wageni, lakini mifumo yetu ikoje hasa kwenye mkikataba? Sisi Watnzania kwa kawaida tunapatana mwanzo na kugombana baadae.Mimi ni Yanga ila kama ni kweli wachezaji wa ndani ni underpaid tunafanya kosa kubwa sana. Hawa ndio wanaijua kilimanjaro, vodacom na NBC premier ligi inayotupeleka kimataifa hawastahili kubaniwa malipo hata kidogo.
Feisal ana haki ya kufuata mshaharax3 japo anarudi nyuma ki-career ila tujitafakari kabla hatujapoteza beki zetu za 1st eleven pia
Eng Hersi anapaswa kumfanyia Feisal urahisi wa kutoka maana Yanga ina bunduki nyingi hakuna pengo ataacha na kwa vile mfumo wa uchezaji wa Yanga ulimbeba Fei ila sioni akipafomu Azam labda kama Azam wachukue pia Farid, Aziz K, Aucho na Sureboy.
Msimu mmoja tu Feisal atakuwa tajiri ila ata flop Azam na ataomba kurudi Yanga maana hatopata chances za kufunga za mpira wa Prof Nabi, wanaorekodi comments wekeni hii
Mimi nimeanza kuangalia mpira ligi kuu nikienda uwanjani nina miaka 6 nabeba viatu vya wachezaji!Sureboy katokea wapi?
Ikumbukwe kwenye kombe la Azam msimu wa 2019/2020, Yanga ikiwa tia maji tia maji ilifungwa 4-1 na Simba. Hilo goli la kufutia machozi Yanga walilipata kupitia kwa Feisal. Hivyo siyo kweli kwamba Feisal amekua bora kwa sababu ya Yanga, bali tukubali tu kuwa dogo ana kipaji!
Hata asipo perform tatizo lenu nyie ni nini , kwa hiyo ange baki Yanga ili tu performance yake iwe kubwa halafu pesa wanakula wachezaji wageni tu ? Ni sawa Fei toto kulipwa 4m wakati Aziz Ki analipwa 23m , wewe unaona kuna usawa hapo ?Mimi nimeanza kuangalia mpira ligi kuu nikienda uwanjani nina miaka 6 nabeba viatu vya wachezaji!
Timu zinaroga klabuni kabla ya kwenda uwanjani kucheza mechi nipo klabuni mtoto mdogo ninaona!!miaka ya 1970s and 1980s hadi leo!!
Yaani soka la bongo nalijua haswa! Azam hawachezi mfumo wa Yanga wa kutegemea kupasua katikati na winga, wana mpira wao wanaujua wenyewe, Feisal nakubali ana kipaji ila mfumo ulimbeba Yanga sasa kama akipafomu Azam kwa kiwango sawa au kuzidi akiwa Yanga nitag kisha
1.unitumie akaunti ya benki academy anakosoma mwanao nilipe ada million kumi
2.unitumie namba ya cm niwe najaza bando lako mwaka mzima
3.nahamia Kolo fc hata kama kwasasa wanacheza kama wako ndondo cup kiwango hamna tegemeo Phiri kavunjika magongo kapewa na jamaa flani huwa wanafanya ile michezo ya mangongoti!!
Muda utaongea!