Analipwa mshahara mara 4 sio kitu kidogo.Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Lakini ye pia ni mfanyakazi akiona fulsa yenye maslahi mazuri lazima aikimbilie iwe uarabuni au hata hapa nyumbani.Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Taarifa zipi na mchezaji ana mkataba hadi 2024? Mnataka Timu imuongezee pesa kwa mkataba upi? Asitupande kichwani, mwacheni asepe.Toka hadharani ufafanue suala la Feisal kuhamia Azam. Huku mtaani ni vurugu mechi tu. Mchezaji kuhama timu siyo dhambi lakini zinahitajika taarifa ambazo zinajitoaheleza
Acha kukariri na makasiriko yako Fei atauwasha moto popote atakapoenda kocha mwenye akili huwa anajenga timu kutoka na wachezaji bota alionaoEng Hersi anapaswa kumfanyia Feisal urahisi wa kutoka maana Yanga ina bunduki nyingi hakuna pengo ataacha na kwa vile mfumo wa uchezaji wa Yanga ulimbeba Fei ila sioni akipafomu Azam labda kama Azam wachukue pia Farid, Aziz K, Aucho na Sureboy.
Msimu mmoja tu Feisal atakuwa tajiri ila ata flop Azam na ataomba kurudi Yanga maana hatopata chances za kufunga za mpira wa Prof Nabi, wanaorekodi comments wekeni hii
Sakata la Feitoto tunajua hizi ni njama za Simba kuivuruga Yanga kupitia pesa za Bakhresa mwanachama wao baada ya kuona Yanga inabeba makombe yote na kuipiga Simba kama mtoto yaani matajiri wa kariakoo furaha imekata mwaka wa pili sasa sura zinakunjamana na uzee unadhihiri , kila muda wana hasira, wanagombeza wafanyakazi ovyo ovyo , wanachapa watoto bila makosa ili kumaliza hasira za Simba kupigwa pigwa kama ngoma na Yanga!! Yani Simba ni ndondo cup ndio kunakowastahili, timu mbovu , viongozi wabovu. Matajiri wekundu wa kariakoo gubu limewakaba kuona kila kona jezi za Yanga tu watu wanajidai nazo mtaani kifua mbere!Hata asipo perform tatizo lenu nyie ni nini , kwa hiyo ange baki Yanga ili tu performance yake iwe kubwa halafu pesa wanakula wachezaji wageni tu ? Ni sawa Fei toto kulipwa 4m wakati Aziz Ki analipwa 23m , wewe unaona kuna usawa hapo ?
Kwa kolopwinyo sababu hamna akili ni rahisi unatoka tu kwa yanga afuate utaratibuHata kama ni wewe na mama zako mngekukataa kupokea 300m kwa sababu ya upuuzi wa kubakia Yanga?
Utopolo wote hawana akiliSureboy katokea wapi?
Ikumbukwe kwenye kombe la Azam msimu wa 2019/2020, Yanga ikiwa tia maji tia maji ilifungwa 4-1 na Simba. Hilo goli la kufutia machozi Yanga walilipata kupitia kwa Feisal. Hivyo siyo kweli kwamba Feisal amekua bora kwa sababu ya Yanga, bali tukubali tu kuwa dogo ana kipaji!
Mpira pesa. Atafute hadhi imsaidie nini ? Amepata pesa mwache achukue kwani kuna tofauti gani kati ya Yanga na Azam mpaka tuseme amejishushia hadhi !Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Mbona Morrison alitoka na akawabwaga CAS mkarudi kimya kimya na jopo lenu la mawakiliKwa kolopwinyo sababu hamna akili ni rahisi unatoka tu kwa yanga afuate utaratibu
Unakijua kilichomkimbiza Makelele kule Real Madrid, na kwenda Chelsea ya Mourinho?Anafuataje huo mshahara?..
Wakati anasaininmkataba hakujua kuwa ni underpaid?
Mshahara unajdiliwa kwa mkataba mpya. Alikubali kukaa 4yrs kwa huo mshahara.
Mengine ni Wivu na hasadi zinawasumbua waTz
Mimi nimeanza kuangalia mpira ligi kuu nikienda uwanjani nina miaka 6 nabeba viatu vya wachezaji!
Timu zinaroga klabuni kabla ya kwenda uwanjani kucheza mechi nipo klabuni mtoto mdogo ninaona!!miaka ya 1970s and 1980s hadi leo!!
Yaani soka la bongo nalijua haswa! Azam hawachezi mfumo wa Yanga wa kutegemea kupasua katikati na winga, wana mpira wao wanaujua wenyewe, Feisal nakubali ana kipaji ila mfumo ulimbeba Yanga sasa kama akipafomu Azam kwa kiwango sawa au kuzidi akiwa Yanga nitag kisha
1.unitumie akaunti ya benki academy anakosoma mwanao nilipe ada million kumi
2.unitumie namba ya cm niwe najaza bando lako la kuperuzi JF mwaka mzima
3.nahamia Kolo fc hata kama kwasasa wanacheza kama wako ndondo cup kiwango hamna tegemeo Phiri kavunjika magongo kapewa na jamaa flani huwa wanafanya ile michezo ya mangongoti!!
Muda utaongea!
Sakata la Feitoto tunajua hizi ni njama za Simba kuivuruga Yanga kupitia pesa za Bakhresa mwanachama wao baada ya kuona Yanga inabeba makombe yote na kuipiga Simba kama mtoto yaani matajiri wa kariakoo furaha imekata mwaka wa pili sasa sura zinakunjamana na uzee unadhihiri , kila muda wana hasira, wanagombeza wafanyakazi ovyo ovyo , wanachapa watoto bila makosa ili kumaliza hasira za Simba kupigwa pigwa kama ngoma na Yanga!! Yani Simba ni ndondo cup ndio kunakowastahili, timu mbovu , viongozi wabovu. Matajiri wa kariakoo gubu limewakaba kuona kila kona jezi za Yanga tu watu wanajidai nazo mtaani kifua mbere!
Huyu Feitoto tunae miaka mingapi mbona matajiri wa chamazi hawakumtaka leo unbeaten 49 na tumeanza tena hesabu ya unbeaten 100 sherehe ikafanyike Arachuga basi makolo wamenuuuna! Hata Azam mumchukue Feisal halafu eti mumtoe kwa mkopo Simba kuiudhi Yanga haitawasaidia lile goli la karne alilowapiga CCM Kirumba litawauma miaka yenu yote hapa duniani! Na kichapo cha wananchi kwa kolo fc kitaendelea bila Feisal maana bado kuna bunduki Aziz Ki na Mayele!
Aziz Ki aliwatungua Simba goli la kideo wakidhani wameshashinda usijitoe ufahamu, simba imeshacheza na wananchi michezo 15 na makolo mkojo mbumbumbu fc hawaijui tena hata harufu ya ushindi wa derby!We nae acha ujuaji wa kitoto,sa aziz ki ni mchezaji au mlevi tu.?
Umekuta watu wamediscuss mada washahamia kwingine we ndo unaingia na ujuaji wako! Nani ana huzuni? Wajinga kama nyie ndo mnasababisha viongozi watuburuze na kununua mabehewa mabovu kwa kodi zetu. Sikia we mbumbumbu mkojo fc tunamhurumia dogo Feisal mpira wake unaenda kuisha Azam na taifa stars anaweza asiitwe. Yanga ina bunduki nyingi hata akienda hakuna pengo bali anawachia wengine nafasi ya kukiwasha zaidi na kuipiga simba kama ngoma!Una huzuni sana kinyesi fc [emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
Acha alinywe alilolikoroga. Mtu unateua Kamati ya Usajili, halafu huo usajili unaufanya peke yako, one man show sio?Toka hadharani ufafanue suala la Feisal kuhamia Azam. Huku mtaani ni vurugu mechi tu. Mchezaji kuhama timu siyo dhambi lakini zinahitajika taarifa ambazo zinajitoaheleza
Hakyamungu huu mwandiko wa kike kabisa..mwanaume hawezi kuwa mchambaji hivi..unless ni upinde.Aziz Ki aliwatungua Simba goli la kideo wakidhani wameshashinda usijitoe ufahamu, simba imeshacheza na wananchi michezo 15 na makolo mkojo mbumbumbu fc hawaijui tena hata harufu ya ushindi wa derby!
Ni desturi ya Mashoga mashabiki maandazi huwa hawaukubali ukweli wa aina au kitu chochote! Hujiona wana ndevu kumbe mademu tu! Wanaposhindwa kujibu hoja hukashifu na kutukana! Mwanaume kamili hujibu hoja kwa hoja!! Weka tuweke! Sio kuleta stori za kinamama za jukwaa la mapenzi!!Hakyamungu huu mwandiko wa kike kabisa..mwanaume hawezi kuwa mchambaji hivi..unless ni upinde.