Eng. Hersi uko wapi?

Eng. Hersi uko wapi?

Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Analipwa mshahara mara 4 sio kitu kidogo.
Signing fee zaidi ya 300M
Kabda tu kama huna akili ndo utaacha hiyo fursa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Lakini ye pia ni mfanyakazi akiona fulsa yenye maslahi mazuri lazima aikimbilie iwe uarabuni au hata hapa nyumbani.
 
Toka hadharani ufafanue suala la Feisal kuhamia Azam. Huku mtaani ni vurugu mechi tu. Mchezaji kuhama timu siyo dhambi lakini zinahitajika taarifa ambazo zinajitoaheleza
Taarifa zipi na mchezaji ana mkataba hadi 2024? Mnataka Timu imuongezee pesa kwa mkataba upi? Asitupande kichwani, mwacheni asepe.
 
Eng Hersi anapaswa kumfanyia Feisal urahisi wa kutoka maana Yanga ina bunduki nyingi hakuna pengo ataacha na kwa vile mfumo wa uchezaji wa Yanga ulimbeba Fei ila sioni akipafomu Azam labda kama Azam wachukue pia Farid, Aziz K, Aucho na Sureboy.

Msimu mmoja tu Feisal atakuwa tajiri ila ata flop Azam na ataomba kurudi Yanga maana hatopata chances za kufunga za mpira wa Prof Nabi, wanaorekodi comments wekeni hii
Acha kukariri na makasiriko yako Fei atauwasha moto popote atakapoenda kocha mwenye akili huwa anajenga timu kutoka na wachezaji bota alionao
 
Hata asipo perform tatizo lenu nyie ni nini , kwa hiyo ange baki Yanga ili tu performance yake iwe kubwa halafu pesa wanakula wachezaji wageni tu ? Ni sawa Fei toto kulipwa 4m wakati Aziz Ki analipwa 23m , wewe unaona kuna usawa hapo ?
Sakata la Feitoto tunajua hizi ni njama za Simba kuivuruga Yanga kupitia pesa za Bakhresa mwanachama wao baada ya kuona Yanga inabeba makombe yote na kuipiga Simba kama mtoto yaani matajiri wa kariakoo furaha imekata mwaka wa pili sasa sura zinakunjamana na uzee unadhihiri , kila muda wana hasira, wanagombeza wafanyakazi ovyo ovyo , wanachapa watoto bila makosa ili kumaliza hasira za Simba kupigwa pigwa kama ngoma na Yanga!! Yani Simba ni ndondo cup ndio kunakowastahili, timu mbovu , viongozi wabovu. Matajiri wekundu wa kariakoo gubu limewakaba kuona kila kona jezi za Yanga tu watu wanajidai nazo mtaani kifua mbere!

Huyu Feitoto tunae Yanga miaka mingapi mbona matajiri wa chamazi hawakumtaka leo unbeaten 49 na tumeanza tena hesabu ya unbeaten 100 sherehe ikafanyike Arachuga basi makolo wamenuuuna! Hata Azam mumchukue Feisal halafu tumesikia mpango wenu eti mumtoe kwa mkopo Simba aifunge na kuiudhi Yanga haitawasaidia lile goli la karne alilowapiga CCM Kirumba litawauma miaka yenu yote hapa duniani! Na kichapo cha wananchi kwa kolo fc kitaendelea bila Feisal maana bado kuna bunduki Aziz Ki na Mayele!
 
Sureboy katokea wapi?
Ikumbukwe kwenye kombe la Azam msimu wa 2019/2020, Yanga ikiwa tia maji tia maji ilifungwa 4-1 na Simba. Hilo goli la kufutia machozi Yanga walilipata kupitia kwa Feisal. Hivyo siyo kweli kwamba Feisal amekua bora kwa sababu ya Yanga, bali tukubali tu kuwa dogo ana kipaji!
Utopolo wote hawana akili
 
Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Mpira pesa. Atafute hadhi imsaidie nini ? Amepata pesa mwache achukue kwani kuna tofauti gani kati ya Yanga na Azam mpaka tuseme amejishushia hadhi !
 
Anafuataje huo mshahara?..
Wakati anasaininmkataba hakujua kuwa ni underpaid?

Mshahara unajdiliwa kwa mkataba mpya. Alikubali kukaa 4yrs kwa huo mshahara.
Mengine ni Wivu na hasadi zinawasumbua waTz
Unakijua kilichomkimbiza Makelele kule Real Madrid, na kwenda Chelsea ya Mourinho?
 
Mimi nimeanza kuangalia mpira ligi kuu nikienda uwanjani nina miaka 6 nabeba viatu vya wachezaji!

Timu zinaroga klabuni kabla ya kwenda uwanjani kucheza mechi nipo klabuni mtoto mdogo ninaona!!miaka ya 1970s and 1980s hadi leo!!

Yaani soka la bongo nalijua haswa! Azam hawachezi mfumo wa Yanga wa kutegemea kupasua katikati na winga, wana mpira wao wanaujua wenyewe, Feisal nakubali ana kipaji ila mfumo ulimbeba Yanga sasa kama akipafomu Azam kwa kiwango sawa au kuzidi akiwa Yanga nitag kisha

1.unitumie akaunti ya benki academy anakosoma mwanao nilipe ada million kumi
2.unitumie namba ya cm niwe najaza bando lako la kuperuzi JF mwaka mzima
3.nahamia Kolo fc hata kama kwasasa wanacheza kama wako ndondo cup kiwango hamna tegemeo Phiri kavunjika magongo kapewa na jamaa flani huwa wanafanya ile michezo ya mangongoti!!

Muda utaongea!

Una huzuni sana kinyesi fc [emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
 
Sakata la Feitoto tunajua hizi ni njama za Simba kuivuruga Yanga kupitia pesa za Bakhresa mwanachama wao baada ya kuona Yanga inabeba makombe yote na kuipiga Simba kama mtoto yaani matajiri wa kariakoo furaha imekata mwaka wa pili sasa sura zinakunjamana na uzee unadhihiri , kila muda wana hasira, wanagombeza wafanyakazi ovyo ovyo , wanachapa watoto bila makosa ili kumaliza hasira za Simba kupigwa pigwa kama ngoma na Yanga!! Yani Simba ni ndondo cup ndio kunakowastahili, timu mbovu , viongozi wabovu. Matajiri wa kariakoo gubu limewakaba kuona kila kona jezi za Yanga tu watu wanajidai nazo mtaani kifua mbere!

Huyu Feitoto tunae miaka mingapi mbona matajiri wa chamazi hawakumtaka leo unbeaten 49 na tumeanza tena hesabu ya unbeaten 100 sherehe ikafanyike Arachuga basi makolo wamenuuuna! Hata Azam mumchukue Feisal halafu eti mumtoe kwa mkopo Simba kuiudhi Yanga haitawasaidia lile goli la karne alilowapiga CCM Kirumba litawauma miaka yenu yote hapa duniani! Na kichapo cha wananchi kwa kolo fc kitaendelea bila Feisal maana bado kuna bunduki Aziz Ki na Mayele!

We nae acha ujuaji wa kitoto,sa aziz ki ni mchezaji au mlevi tu.?
 
We nae acha ujuaji wa kitoto,sa aziz ki ni mchezaji au mlevi tu.?
Aziz Ki aliwatungua Simba goli la kideo wakidhani wameshashinda usijitoe ufahamu, simba imeshacheza na wananchi michezo 15 na makolo mkojo mbumbumbu fc hawaijui tena hata harufu ya ushindi wa derby!
 
Una huzuni sana kinyesi fc [emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
Umekuta watu wamediscuss mada washahamia kwingine we ndo unaingia na ujuaji wako! Nani ana huzuni? Wajinga kama nyie ndo mnasababisha viongozi watuburuze na kununua mabehewa mabovu kwa kodi zetu. Sikia we mbumbumbu mkojo fc tunamhurumia dogo Feisal mpira wake unaenda kuisha Azam na taifa stars anaweza asiitwe. Yanga ina bunduki nyingi hata akienda hakuna pengo bali anawachia wengine nafasi ya kukiwasha zaidi na kuipiga simba kama ngoma!
 
Feisal anayhombaniwa sioni mpira wake unamzidi hata dogo Patric Mwenda
 
Toka hadharani ufafanue suala la Feisal kuhamia Azam. Huku mtaani ni vurugu mechi tu. Mchezaji kuhama timu siyo dhambi lakini zinahitajika taarifa ambazo zinajitoaheleza
Acha alinywe alilolikoroga. Mtu unateua Kamati ya Usajili, halafu huo usajili unaufanya peke yako, one man show sio?
 
Aziz Ki aliwatungua Simba goli la kideo wakidhani wameshashinda usijitoe ufahamu, simba imeshacheza na wananchi michezo 15 na makolo mkojo mbumbumbu fc hawaijui tena hata harufu ya ushindi wa derby!
Hakyamungu huu mwandiko wa kike kabisa..mwanaume hawezi kuwa mchambaji hivi..unless ni upinde.
 
Hakyamungu huu mwandiko wa kike kabisa..mwanaume hawezi kuwa mchambaji hivi..unless ni upinde.
Ni desturi ya Mashoga mashabiki maandazi huwa hawaukubali ukweli wa aina au kitu chochote! Hujiona wana ndevu kumbe mademu tu! Wanaposhindwa kujibu hoja hukashifu na kutukana! Mwanaume kamili hujibu hoja kwa hoja!! Weka tuweke! Sio kuleta stori za kinamama za jukwaa la mapenzi!!

Mwananchi ukisema ukweli tu kwamba msimbazi kumeoza na kwamba Dube na Feisal ndo kiboko yao basi makolo watakuponda ila ngozi ngumu hii unajisumbua tu bro! Sikia we kolo, hata muwaponde wachezaji wetu ni walevi ukweli unabaki wamewazidi kiwango wale wa Simba , tunaongoza ligi 6 pointi ahead , tunawapiga simba kama ngoma ushindi wenu droo, hakuna timu ina ubavu kama wetu , Yanga tuna timu bora na tumeshawazidi kiwango nyie Kolo fc sio level yetu tena huu ukweli na uwakae sasa,

SImba mnatuboa sana wananchi kujilinganisha uwezo na sisi tulishawaacha mbali sana tangu tumchukue Diarra screen protector anadaka mishale, mabomu, makombora, mawe, kombeo na manati!

na kombe la ligi tunabeba tena na tena 5 to 10 years hadi nyie mashoga wekundu mfe kwa hasira!!

Kombe lenu makolo mikojo fc ni la mapinduzi tu vipi hamjaanza safari kwenda Zenji?
 
Back
Top Bottom