Eng. Hersi uko wapi?

Eng. Hersi uko wapi?

Fei Toto angeonekana wa maana sana kama angalau angepata timu ya Uarabu na baadaye kwenda Ulaya! Lakini kwa hawa waoka mikate amejishushia hadhi na mpira wake!
Bora kajishushia hadhi huku akijipandishia maslahi yake kuliko sifa za kila uchwao kumbe unapata 4m tu na ukistaafu wakudharau kama Ngassa
 
Yuko kisarawe anachimba mihogo ya kulisha wakina aziz k baada ya mechi leo
 
Ni desturi ya Mashoga huwa hawaukubali ukweli wa aina au kitu chochote! Hujiona wana ndevu kumbe mademu tu! Wanaposhindwa kujibu hoja hukashifu na kutukana! Mwanaume kamili hujibu hoja kwa hoja!! Sio kuleta stori za kinamama!!

Mwananchi ukisema ukweli tu kwamba msimbazi kumeoza na kwamba Dube na Feisal ndo kiboko yao basi makolo watakuponda ila ngozi ngumu hii unajisumbua tu bro! Sikia we kolo, hata muwaponde wachezaji wetu ni walevi ukweli unabaki wamewazidi kiwango wale wa Simba , tunaongoza ligi 6 pointi ahead , tunawapiga simba kama ngoma ushindi wenu droo, hakuna timu ina ubavu kama wetu , Yanga tuna timu bora na tumeshawazidi kiwango nyie Kolo fc sio level yetu tena huu ukweli na uwakae sasa,

SImba mnatuboa sana wananchi kujilinganisha uwezo na sisi tulishawaacha mbali sana tangu tumchukue Diarra screen protector anadaka mishale, mabomu, makombora, mawe, kombeo na manati!

na kombe la ligi tunabeba tena na tena 5 to 10 years hadi nyie mashoga wekundu mfe kwa hasira!!

Kombe lenu makolo ni la mapinduzi vipi hamjaanza safari kwenda Zenji?
Kombe la uji mtabeba ila hili sahau leo unapigwa na ukikutana na mnyama tunakuosha
Utopolo wewe
 
Utaratibu upi? Taarifa zinasema katumia mapungufu yaliyopo kwenye mkataba. Kalipa pesa ya usajili na mshahara. Mnavyodanganywa nyinyi Uto sio kila mtu mnaweza kumdanganya
shehe povu hilo. kama amefatA tAratibu tutaona wapi atacheza
 
Tatizo la timu za Tanzania ni kuchukulia wachezaji kama mashabiki wa timu zao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hivi we jamaa una akili kichwani? Yanga imeingia mkataba na Fei tangu 2020 mkataba wa miaka minne. Mkataba wenye mshahara wa Mil 4 kwa mwezi sambamba na pesa ya usajili mil 100 hiyo ilikuwa 2020.
Sasa utasemaje timu imemchukulia kama shibiki? We haukatwi lkn??
 
Anafuataje huo mshahara?..
Wakati anasaininmkataba hakujua kuwa ni underpaid?

Mshahara unajdiliwa kwa mkataba mpya. Alikubali kukaa 4yrs kwa huo mshahara.
Mengine ni Wivu na hasadi zinawasumbua waTz
Baki hivyo hivyo. Eti mshahara unajadiliwa baada ya mkataba kuisha. Thamani ya mchezaji inapopanda lazima muweke mazingira magumu ya kutompoteza kirahisi. Yawezekana miaka miwil iliyopita thamani ya Toto ilikuwa 4m, je Leo thamani yake ni hyo hyo.??? Ndo maana kawatoka coz mlimuwekea mazingira rahisi... Eti avunje alipe 100m, mlimfikiria yeye, hamkuwafikiria timu pinzani zinaweza kutafutaa gap hapo... Jifunzeni sasa Rudin mkakague mikataba ya wachezaj wenu..upyaaa
 
Hivi maji yapo leo huko Idodomya? Au umeoga passport size!

Feitoto haendi popote hela walizotaka kumpa Azam tunampa wananchi hela ipo, hivi nyie makolo mikojo fc vipi mbona mnashangilia sana Feitoto kutukimbia?
 
Mshaachwa,achikeni sasa.. pesa mbele Kama tai, unazi wa Nini kwenye soka la kisasa. Na mkimbakiza jiandaeni kufirisika. Tayar ashapata Bush laywer..Halfu hadi azam wawastue kuwa Toto thamani yake hii ndo muitimize?? Huo ndo utopolo wenyww
 
Back
Top Bottom