kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club.
Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku cha kura. Wacha kila mtu ajinadi mwenyewe atu convince wapiga kura.