Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club...
Ndugu hujui tu kuwa Siku zote Matapeli hupenda kuwa pamoja kila sehemu?Inaonekana kuwa unampenda Arafat moyoni kwako, lakini kwenye kazi sio hivyo. Tuache sisi wanachama tukupatie makamu wa rais wako wa club.
Kupigia debe mgombea mmoja na kumuacha mwingine sio afya sana kwa club, hasa yule unaempigia debe akiangushwa kwenye kisanduku Cha kura. Wacha kila mtu ajinadi mwenyewe atu convince wapiga kura.
hili ni Jukwaa la sports sio jukwaa la timu. tumia akili basi,au huna?Mmesahau team yenu huko mnakomaa na uchaguzi wa Yanga baadae vita anza vilio
Ungekua nazo akili ungekaa kimya kwenye mambo ya uchaguzi wa Yanga maana hakuna kinacho kuhusuhili ni Jukwaa la sports sio jukwaa la timu. tumia akili basi,au huna?
Kama na nyinyi mlivyonunuliwa na kuvurugwa kabisa na Mudi!Mmeshanunuliwa nyie, wote mko mfuko wa nyuma wa huyo "Engineer" wenu, tena mbaya zaidi amewachanganya na leso yake ya kufutia jasho.
kama ni hivyo basi uchaguzi mngefanyia kitandani kwa GSM ili tusione huku njeUngekua nazo akili ungekaa kimya kwenye mambo ya uchaguzi wa Yanga maana hakuna kinacho kuhusu
Hatutaki maoni yako peleka huko bunju kwa Barbrakama ni hivyo basi uchaguzi mngefanyia kitandani kwa GSM ili tusione huku nje
kitu kama hiko kinapatikana kwenye siasa tu peke yake ambako chama na mgombea wanachagua mgombea mwenza atakayekuwa makamu wa Rais kama mgombea urais atachaguliwa, lakini sio pahala pengene popote kama kwenye mpira. kufanya hivi kwenye mpira ni sawa na kuchagua mtu ambae, amaAcha aungane na ataeweza kufanya nae kazi bwashee
Checks and balances ni muhimu sana katika uongozi. Hersi na Arafat hakutakuwa na checks and balances hiyo.Hersi will be much comfortable with Arafat. (Ushikaji, mwanetu mwanetu).
Hersi will do much better with Suma. (Kazi kazi)
Kupanga ni kuchagua.
Pambaneni na hali yenu aisee... sisi hatujachanganywa na leso mfukoni!Kama na nyinyi mlivyonunuliwa na kuvurugwa kabisa na Mudi!