Eng. Hersi wa GSM achukua fomu ya kugombea Urais Yanga

Eng. Hersi wa GSM achukua fomu ya kugombea Urais Yanga

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Eng. Hersi Amechukua form ya Kugombea Urais Yanga muda Huu.
 
Hersi kura zote 100% zake anaipenda Yanga na ameibebesha makombe, mechi zote hakosi hata iwe porini, Apewe tu wananchi tufikie kiwango cha Al Ahly!
 
Msola na Mwakalebela itakuwaje sasa?
 
Kuwa mfadhili siyo sawa na kuwa mwenyekiti. Uenyekiti ni uongozi ufadhili ni fedha.
Labda Yanga ikishakuwa kampuni, hapo mwenyekiti anakuwa yule mwenye hisa nyingi
 
Back
Top Bottom