SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
Acha uzushi, Kadogosa siyo wa ChatoEng Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
Ni Ngosha lakini, wapo wanaosema atachukua fomu Bariadi.Acha uzushi, Kadogosa siyo wa Chato
Sukuma Gang in Action 😂Ni Ngosha lakini, wapo wanaosema atachukua fomu Bariadi.
Ndiyo inasemekana ni msukuma ila wadau wanasema chato siyo yeye kabisa ila kuna yule mdau mkuu wa wilaya Tabora na wengine wengineNi Ngosha lakini, wapo wanaosema atachukua fomu Bariadi.
Bado ni Mkurugenzi wa TRC!Ni Ngosha lakini, wapo wanaosema atachukua fomu Bariadi.
AmeandaliwaEng Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
Kadogosa ni mhasibu sio mhandisi, anagombea Bariadi Vijijini alafu Mhandisi Kundo Mathew anabakia Bariadi Mjini.Eng Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie
Kalemani ni mbunge mmoja mwenye akili za maana kabisa, ni basi tu walimtoa kwenye uwaziriEng Kadogosa umefanya makubwa Tanzania nzima kwa kuanzia SGR inawaka kama dhahabu. Karibu Jimbo la Chato utuhudumie