Eng. Kadogosa karibu Chato, Kalemani kapumzike sasa!

..pia kwa kichwa chake mwenyewe alishasema yeye sio Engineer..wewe hii Engineer umeipata wapi?
 
Reactions: EEX
Mimi nilidhani huko kwao labda kawatengenezea barabara, kawajengea shule, mashamba ya umwagiliaji kwa gharama zake kumbe SGR ambayo ni mali ya kitaifa inayosimamiwa na watu lukuki na yeye hajawahi kuwa na maamuzi yoyote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…