TANZIA Eng. Mushubila wa TANROADS afariki dunia


Tatizo ni kuwa serikali imewaaminisha the illiterate mass kuwa ugonjwa haupo.

Unajilinda vipi wewe na wapendwa wako wote kwenye hilo rojo? Unajilinda vipi kwenye mwendo kasi, dala dala, mabasi, ferry, TRA kwenye makadirio ya nyongeza za kodi nk?

Tusidanganyane haipo namna ya kujikinga binafsi katika rojo hili tulilomo.
 
Nakuelewa vizuri tu lakini tunaishi katika mazingira magumu ila pamoja na hayo hicho kidogo unachoweza kufanya hujui kinaweza kukusaidia. Ni ngumu lakini inabidi mtu ufanye hivyo. Hakuna namna hili janga lipo tatizo watu wengi wanapata na hawahisi kitu hapo ndio wachache wanakumbuna na adhaa hii.
 

Kwanini ni vigumu kwa serikali kuwa wazi kwamba ugonjwa upo na hali Halisi ya ugonjwa ni hii?

Kwanini ni vigumu serikali kuitisha hadhari rasmi nchini ili sote tuwe na tulazimike kuwa na mwelekeo mmoja?

Unaifahamu negative attitude iliyopo hata kwa mtu aliyevaa barakoa tu kwenye jamii yetu hii ya leo ya wagagagigikoko?
 
Haya! Tuseme kuanzia tarehe 10, iwe total lockdown. JWTZ please take charge. Asionekane mtu yeyote nje kuanzia saa nne asubuhi!
Umejipangaje?

Hivi kwanini mnapenda kuwapotosha watu kuwa kuchukuliwa hatua dhidi ya corona maana yake ni "kutangazwa total lock down tu?" Mkaenda mbele kuwapotosha zaidi kuwa watakula nini?

Hivi hizi serikali zetu zisizo wajibika na maisha ya watu kunapo dharura ni za nini basi? Kukamua kodi tu ndiyo wajibu wake?

Hivi mna maslahi gani hayo binafsi yenye kuhatarishwa mno na jitihada zozote za kuwahami raia na ugonjwa huu ikibidi hata watu wote wafe na hata mkiwamo nyie wenyewe?

Au hii ndiyo mnayoita "nzi kufia kwenye kidonda?"
 
Watu walianza kufa hata kabla ya Corona,
 
Watu walianza kufa hata kabla ya Coona
 
Sasa ndugu yangu hili unajuwa haliwezekani, Mkuu kila mara anatumia nguvu hata katika kampeni kuwa hakuna corona sababu ya maombi mpaka juzi amekuwa anasisitiza hilo kwa maana hiyo hawezi kugeuka kauli zake itaonekana wana responsibilty katika haya yaliyotokea ila kwa bahati mbaya viongozi wote mpaka chama waoga kusema ukweli. Hili hawatasema tufe mpaka basi ugonjwa ukimbie wenyewe. Jichunge na chunga family yako na watu wako.
 
A a, tuchukulie kwamba hali inalazimisha iwe hivyo, hebu to a ushauri wako kwa hatua ambazo watu wanapaswa kuanza kuchukua kuanzia hivi sasa kabla ya hiyo tarehe 10 kufika. Usiongee tu mambo kutoka hewani. Fafanua na hatua za kuchukua. Jukumu la Serikali: "Total lockdown, JWTZ take full charge to enhance the order". The issue is extremely rampant!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…