TANZIA Eng. Mushubila wa TANROADS afariki dunia

TANZIA Eng. Mushubila wa TANROADS afariki dunia

Juzi nilikua kwenye pantoni na mask yangu nyomi kibao, watu wakawa wananishangaa, na wengine wanaongea unawasikia kabisa wanaambizana, "hawa wanaovaa mask ndo vibaraka was mabeberu hawa".
Hawa wanaowaita watu nyumbu wana matatizo sana hawajui ile kauli ya " corona haipo Tanzania " imeingia na kunasa kwenye vichwa vya watanzania. Watu hawakuelewi wanakuona wa ajabu ukichapa barakoa yako na sanitizer mkononi.

Ni sahii aliyetuambua corona haipo aje tena public atueleze corona ili kuokoa millions ya uneducated Tanzanians, hao wanaovaa barakoa ni wale walioenda shule baadhi na wenye exposure fulani.
 
Kwa hiyo akiweka wazi hali ya afya nchini inakuwaje?
Itaongeza uelewa kwa baadhi ya watu hususani wale walioaminisha kuwa "corona hakuna"

Jana nimeingia Nyumbani kwa Bi mkubwa na barakoa yangu + sanitizer mfuko wa shati (nikapokelewa na maneno Kibao ya kebehi)

Mwanzo ilivyotangazwa na mamlaka kuwa corona Ipo watu tulikuwa hatujazanj kwenye mabasi, mastand, mda wote tunanawa.

Ni ngumu sana kuitoa hii kauli "korona hakuna" vichwani mwa watu si mimi wala ww tutaeleweka isipokua yule aliyetangaza hivyo
 
Usikompliketishe maisha mkuu. Njia yoyote ya kushinda vita ni kujiamini huku ukizingatia kanuni za mapambano.
 
Usikompliketishe maisha mkuu. Njia yoyote ya kushinda vita ni kujiamini huku ukizingatia kanuni za mapambano.
Naww usirahisishe vitu mkuu.

Kujiamini kwenye vitu vinavyoumiza ni kupoteza mda
 
"Tutaelewana tu, "
Kilisikika kirusi Covid kikiongea 🙄
 
Back
Top Bottom