:lol::lol::lol:Du!
Mimi nilioa zamani mno, kiasi kwa sasa duka hilo lishafungwa!
Uliza kijana anaitwa The Finest, huyu yuko kwenye hatua za mwisho za ndoa!
Du!
Mimi nilioa zamani mno, kiasi kwa sasa duka hilo lishafungwa!
Uliza kijana anaitwa The Finest, huyu yuko kwenye hatua za mwisho za ndoa!
:lol::lol::lol:
:lol::lol:...Lol... don't tell me you believe what PJ has said..For real. . . . ?
PJ alioa mtoto wa kisomali nini....lol..hivi shemeji....ile ndoa yako ya hivi kati hapa ilikuwa ya mkeka ile..?......navikumbuka vile visheti tulivyokula......vilikuwa vitamu sana.....
:lol::lol:...Lol... don't tell me you believe what PJ has said..
PJ alioa mtoto wa kisomali nini....lol..
:lol::lol::lol:
PJ alioa mtoto wa kisomali nini....lol..
Ntakeni radhi nyie vijana!...Msiudhalilishe umri wangu bana!...ana kitu chake cha kinubi....wacha kabisa.....
Hahahaha!!! Yaani wewe tenaHhhm!!With people. . YOU NEVER KNOW.
Lol...Henge mkuu huyu PJ huyu, aisee michakato hiyo bado banaa mkuuwengine tumeshazoeana saana hata kama hatufahamiani kwa sura, mkuu kumbe unandoa bwana si tukalibishane bwana duuu!
duu naona kama umenionea kweli aaati, naona kama mshikaji wangu wa karibu saana kaninyima kadi! JF BWANA!
Haya mkuu bana.....Ntakeni radhi nyie vijana!...Msiudhalilishe umri wangu bana!...
Tangu lini visheti na Konyagi vikakubaliana!
hahaha kwa kuwa ww bado upo upo eti teh!!So you want to loose your freedom??????????????????????
Du!
Mimi nilioa zamani mno, kiasi kwa sasa duka hilo lishafungwa!
Uliza kijana anaitwa The Finest, huyu yuko kwenye hatua za mwisho za ndoa!
Nenda pale JM Mall Samora kuna duka mule ndani wanauza pete kuanzia laki mbili hadi milioni na kuendelea hela yako tu