Habari zenu wadau,
Jamani ningependa kujua bei ya bete za uchumba kwa hapa bongo na pia zinapatikana wapi?
Najua kuna watu watanisema kuwa nikatafute kwa Masonara sijui, haina shaka ila nataka mwanga ili nisizunguke sana.
Nahitaji pete yenye kito cha Tanzanite.
Any help jamani.
Nataka kuchimbia soon!