Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Kijana mdogo kqbisa huyo, nyue ndio wazee.Alafu huyo dipresheni anasema ni kijana
Kijana mdogo kqbisa huyo, nyue ndio wazee.Alafu huyo dipresheni anasema ni kijana
Yeye mwenyewe laana🤣Unataka laana wewe sio bure
Dipre umenichoka nani mzee hapa?Kijana mdogo kqbisa huyo, nyue ndio wazee.
Nyie mna yenu sio bureYeye mwenyewe laana🤣
Muacheni kijana wa watu nyie wazee🤣🤣Dipre umenichoka nani mzee hapa?
Hapana, huyo mzee wa hovyo. Hivyo hawezi toa laana🤣Nyie mna yenu sio bure
Mimi sitii neno isijeikahamia kwanguHapana, huyo mzee wa hovyo. Hivyo hawezi toa laana🤣
Nasemaje nisikukamateMuacheni kijana wa watu nyie wazee🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Nasemaje nisikukamate
Kuna mmoja hapo ni fursa kwa mwenzie!Kanisa la Free Church chini ya Mchungaji Masanja Mkandamizaji limeandika historia mpya ya kipekee baada ya kushuhudia uchumba ulioacha wengi midomo wazi na wengine wakibaki na mshangao.
Kauli mbiu iliyosikika ikitamba ilikuwa: “Mungu asiyewahi kuchelewa yupo!” — ishara kuwa hakuna linaloshindikana mbele za Mungu.
Hapo madhabahuni palishuhudia tukio ambalo si la kawaida: mwanaume mwenye umri ulioenda kwa mbali akamvisha pete binti, tofauti ya umri ikikisiwa kuwa si chini ya miaka 20. Wapo waliobaki wakisema umri ni namba tu, na kweli upendo uliojaa moyo na furaha ulimwagika kama mvua ya baraka.
Lakini kama ilivyo ada ya Watanzania, minong’ono haikukosekana. Huko mitandaoni wapo waliobaki wakicheka chini kwa chini; wengine wakihisi labda mzee kapata dogo dogo badala ya mwenza wa rika lake, wengine wakihisi huenda binti anaenda kuvuna mafao ya pensheni kwa tabasamu. Lakini katikati ya minong’ono na utani, ukweli ulio wazi ni mmoja tu: mapenzi hayana macho wala hofu.
Huyo jamaa ni mnafiki sana, ingawa sijajua anacheka kwa sababu ipi? Ila inaonekana kanisani hapo palikuwa moto sana kwenye uchumba huo. Mzee katumia ujana wake kuzisaka na sasa anakwenda kutulizwa na dogo dogo kwenye familia.
Ngoja nimletee picha zangu za Mwaka 47 huenda akaamini 😅Alafu huyo dipresheni anasema ni kijana
Mletee zile za black and white ukiwa umeachia nywele juu kama mohamed allyNgoja nimletee picha zangu za Mwaka 47 huenda akaamini 😅
Utajichanganya tu na ndipo utakapojuta🤣🤣🤣🤣
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Aaah wapi🤣🤣🤣Utajichanganya tu na ndipo utakapojuta
Umeona eeh 😅Mletee zile za black and white ukiwa umeachia nywele juu kama mohamed ally
Ndio babuUmeona eeh 😅
Ntamteka huyo mwanao uliemuweka avatani ili nikunaseAaah wapi🤣🤣🤣
Hatekeki🤣Ntamteka huyo mwanao uliemuweka avatani ili nikunase