engeneer aliyemaliza udsm

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
 
tooooo looooowwwwwwww...

huna hoja na naamini hujui chochote kuhusu sekta ya ujenzi na majukumu ya kila muhusika katika ujenzi. Umejawa na ushabiki wa vyuo na sio wajibu wa professionals wanaozalishwa vyuoni tunakosoma....hata angekuwa ni engineer wa havard bado jengo lingeweza kubomoka coz yeye sio zege wala vyuma vinavyoshikilia jengo.

USHAURI:- NEXT TIME KABLA HUJAROPOKA..FIKIRIA KWANZA AU TAFUTA VIGEZO UTAVYOTUMIA KUFUNGUA MDOMO WAKO.
 

Asante kwa kumueleza yote maana watu badala ya kutafuta suluhu ya matatizo ktk nchi yetu wanaleta habari za uchuo chuo!
 
mh! Kwa ni UDSM au mtu alie maliza hapo ndie alie simamia ujenzi? Waacheni UDSM jamani twende mbele nyuma hicho chuo kwa bongo kimevitangulia vyuo vyengi, kukijengea chuki haisaidia
 
Ndivyo ulivyofundishwa? Kama wewe ni graduate unaandika hivyo basi hujaitendea haki fani yako.
 
mh! Kwa ni UDSM au mtu alie maliza hapo ndie alie simamia ujenzi? Waacheni UDSM jamani twende mbele nyuma hicho chuo kwa bongo kimevitangulia vyuo vyengi, kukijengea chuki haisaidia

Mkuu, huo ndio ukweli, kimevitangulia na hiyo gap si ndogo. Mbona kuna wahandisi wengi wa UDSM wamefanya kazi nzuri na mpaka leo hakuna matatizo.
 
Tatizo kubwa ni 'umakini' wa mtu kwenye mambo ya msingi siyo chuo alichosomea, kwani hata wewe umekosa 'umakini' ndiyo maana umeshindwa kuandika neno 'Engineer' kwa usahihi.. Tunaku-'rate' kwenye mambo madogo tu ya msingi..
 
Mkuu aka2030,do not open your MOUTH always but sometimes open your BRAIN also.
 
Kama ni kuhusisha tabia ya mtu na mahala aliposoma, basi CCP IFUTWE.

Anyway, vipi lile jengo la airtel kajenga mtu wa chuo gani? Na PPF tower kajenga wa chuo kipi? Vipi jengo la Jaymal nalo? Vipi majengo ambayo hayajaanguka yamejengwa na waliosoma wapi??

By the way, najuwa tutawashikia bango sana hao ma-engineer, lakini kuna majengo nje ya Tz yameshawahi kudondoka, kuna manyuklia yashawahi kuvuja, kuna wagonjwa washawahi kufa pamoja uwepo wa madaktari, kuna watu washafungwa pamoja na kuwepo wansheria, wa vyuo mbalimbali, kuna waliofeli au kudisco pamoja na kusoma UDOM au kwingineko nje ya UDSM.

Kwa hiyo failure ya kitu inahusisha factors nyingi sana, ikiwemo rushwa na wizi wa vitendea kazi mbalimbali. UDSM na vyuo vingine hawafundishi wizi wala rushwa au mengine yanayoharibu taaluma ya mtu.

THIS IS TOO LOW TO COME OUT OF GREAT THINKER. Yaani hujafanya RCA. Serious RCA WILL GIVE OUT A SERIOUS SOLUTION NOT ONLY FOR WHAT WE HAVE NOW, BUT ALSO FOR FUTURE
 
Udsm ni tatzo sana hata jk alisoma pale

Wewe umesoma wapi? Na unaweza ukataja kitu gani umelifanyia taifa of which you are proud of? kama ne Engineer tu umeshinwa kuliandika ipasavyo, can you give conclusive analysis ya sababu ya lile jengo kubomoka?
 
Aisee! Perry umesikia?

kumbe nawe una akili ndogo hvo,kwan udsm ndo wamejenga hlo jengo au ni individual ndio amejenga?afu suala la majengo kuanguka hata huko marekani yanaanguka.asa umeshopalia udsm cjui kwa sababu walikunyima admission au vip?
 
Last edited by a moderator:
kumbe nawe una akili ndogo hvo,kwan udsm ndo wamejenga hlo jengo au ni individual ndio amejenga?afu suala la majengo kuanguka hata huko marekani yanaanguka.asa umeshopalia udsm cjui kwa sababu walikunyima admission au vip?
Analeta zile za sungura, 'sizitaki mbichi hizi.'
 
Analeta zile za sungura, 'sizitaki mbichi hizi.'

ni mmoja wa watu ambao walikua wana ndoto za kukanyaga ud siku moja,lakn wakajikuta ndoto zao zinafifia,kwa hyo wamebaki kujipooza kwa kuponda kitu chochote kinachofanywa na udsm graduates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…