Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tooooo looooowwwwwwww...
huna hoja na naamini hujui chochote kuhusu sekta ya ujenzi na majukumu ya kila muhusika katika ujenzi. Umejawa na ushabiki wa vyuo na sio wajibu wa professionals wanaozalishwa vyuoni tunakosoma....hata angekuwa ni engineer wa havard bado jengo lingeweza kubomoka coz yeye sio zege wala vyuma vinavyoshikilia jengo.
USHAURI:- NEXT TIME KABLA HUJAROPOKA..FIKIRIA KWANZA AU TAFUTA VIGEZO UTAVYOTUMIA KUFUNGUA MDOMO WAKO.
mh! Kwa ni UDSM au mtu alie maliza hapo ndie alie simamia ujenzi? Waacheni UDSM jamani twende mbele nyuma hicho chuo kwa bongo kimevitangulia vyuo vyengi, kukijengea chuki haisaidia
Heri huyo injinia aliyethubutu kufanya kazi kubwa kama hiyo ya usimamizi kuliko wewe unayeshindwa hata kuandika neno 'engineer'engeneer aliyemaliza udsm
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
Udsm ni tatzo sana hata jk alisoma pale
Aisee! Perry umesikia?
Analeta zile za sungura, 'sizitaki mbichi hizi.'kumbe nawe una akili ndogo hvo,kwan udsm ndo wamejenga hlo jengo au ni individual ndio amejenga?afu suala la majengo kuanguka hata huko marekani yanaanguka.asa umeshopalia udsm cjui kwa sababu walikunyima admission au vip?
Analeta zile za sungura, 'sizitaki mbichi hizi.'