Tafadhali zama kidogo ndani zaidi ili ueleweke. Wasimamizi wahandisi kwenye jengo kama hilo ni wengi, je unayemtaja alikuwa anasimamia upande wa mkandarasi, au wa mshauri mtaalamu au mhandisi wa manispaa. Mhandisi kutoka Udsm siyo sababu halisi au pekee ya jengo kuanguka.Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
Mkuu yaan nikijumlisha na thread yako kuhusu wachaga,mh I see how low you can think!Some of us here can be your professor bwana mdogo,please talk with respect! Usiwe una-generalize mambo hivi!Udsm ni tatzo sana hata jk alisoma pale
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara ud ni chuo cha kwanza Tanzania kwa kuanzishwa na kwa ubora lakini kimepoteza umaalufu wake baada ya kugundulika kuwa kinazalisha vilaza si katika uinjinia tu hata katika siasa,uchumi,na sayansi ya afya! na sijui wanatumia vigezo gani kuendelea kukifanya kiwe chuo bora Tz!
kwa maana hiyo JK ni tatizoUdsm ni tatzo sana hata jk alisoma pale
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
Akili yako bado changa unafikiri kwa yoyote aliyekanyaga chuo kikuu ndani ya TZ kabla ya 2000 atakuwa amesoma wapi kama si UDSM?? Cha ajabu hata hivyo vyuo mnavyosoma mnafundishwa na product za udsm swala huwa ni ethics kwa m2 binafsi katkia kaziUdsm ni tatzo sana hata jk alisoma pale
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana
mh! Kwa ni udsm au mtu alie maliza hapo ndie alie simamia ujenzi? Waacheni udsm jamani twende mbele nyuma hicho chuo kwa bongo kimevitangulia vyuo vyengi, kukijengea chuki haisaidia
Ndiye alikuwa anasimamia lile jengo lililoanguka juzi posta kweli udsm kinaliingizia taifa hasara sana