Nawashauri mfanye usajili, dirisha Bado halijafungwa timu yenu ni dhaifu kujilinganisha na Yanga.Pomoja na makafara yenu kunywesha majini yenu damu ya ng'ombe wa supu, jipangeni kutafuta ushindi kwa waamuzi kwa kuwa timu yenu ni ya kawaida.
Mna bahati mbaya sana kwa kuwa maduka yenu tuliyastukia yote na wengine mkaamua kuwasajili.
Janja janja ya soka ndio mnajinasibu kushinda champions league!
Timu ya kawaida sana
Unamaanisha unachokiongea ama bila kushurutishwa na mtu yeyote na bila mihemko ya kishabiki? Umetumia utafiti Gani kuilinganisha timu yako kiufundi na kimbinu dhidi ya yanga? Vitu Kama hivi ndio uwa vinafanya mashabiki wengi kuzimia baada ya mechi husika kutokana na kuukimbia ukweli ilimradi tu ni shabiki wa timu fulani ataki kusema ukweli kwamba ataonekana anamsifia mpinzani, but timu yako Kama ni Bora aiitaji mpaka ufanye Kipimo Cha utra sound ndio ionekana!Pomoja na makafara yenu kunywesha majini yenu damu ya ng'ombe wa supu, jipangeni kutafuta ushindi kwa waamuzi kwa kuwa timu yenu ni ya kawaida.
Mna bahati mbaya sana kwa kuwa maduka yenu tuliyastukia yote na wengine mkaamua kuwasajili.
Janja janja ya soka ndio mnajinasibu kushinda champions league!
Timu ya kawaida sana
jidanganye,ukichoka kajambePomoja na makafara yenu kunywesha majini yenu damu ya ng'ombe wa supu, jipangeni kutafuta ushindi kwa waamuzi kwa kuwa timu yenu ni ya kawaida.
Mna bahati mbaya sana kwa kuwa maduka yenu tuliyastukia yote na wengine mkaamua kuwasajili.
Janja janja ya soka ndio mnajinasibu kushinda champions league!
Timu ya kawaida sana
Wakitandikwa hiyo tarehe 8 lazima wataongelee kuhusu majini kunawatu kichwani bado sana, (they have low thinking capacity) hawawezi kutafsiri matukio kwa fikra chanyaUnamaanisha unachokiongea ama bila kushurutishwa na mtu yeyote na bila mihemko ya kishabiki? Umetumia utafiti Gani kuilinganisha timu yako kiufundi na kimbinu dhidi ya yanga? Vitu Kama hivi ndio uwa vinafanya mashabiki wengi kuzimia baada ya mechi husika kutokana na kuukimbia ukweli ilimradi tu ni shabiki wa timu fulani ataki kusema ukweli kwamba ataonekana anamsifia mpinzani, but timu yako Kama ni Bora aiitaji mpaka ufanye Kipimo Cha utra sound ndio ionekana!