Engeneer anza kufanya mipango ya Red card na Penalty tarehe 8

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Pomoja na makafara yenu kunywesha majini yenu damu ya ng'ombe wa supu, jipangeni kutafuta ushindi kwa waamuzi kwa kuwa timu yenu ni ya kawaida.

Mna bahati mbaya sana kwa kuwa maduka yenu tuliyastukia yote na wengine mkaamua kuwasajili.
Janja janja ya soka ndio mnajinasibu kushinda champions league!

Timu ya kawaida sana
 
Nawashauri mfanye usajili, dirisha Bado halijafungwa timu yenu ni dhaifu kujilinganisha na Yanga.

Tarehe 8 haipo mbali mtarudi ku mvamia Mangungu.
Hakutakua na eneo la kujifichia,
Wenye akili wanaona hatari iliyopo mbele yenu.
 
Pomoja na makafara yenu kunywesha majini yenu damu ya ng'ombe wa supu, jipangeni kutafuta ushindi kwa waamuzi kwa kuwa timu yenu ni ya kawaida.

Mna bahati mbaya sana kwa kuwa maduka yenu tuliyastukia yote na wengine mkaamua kuwasajili.
Janja janja ya soka ndio mnajinasibu kushinda champions league!

Timu ya kawaida sana
Unamaanisha unachokiongea ama bila kushurutishwa na mtu yeyote na bila mihemko ya kishabiki? Umetumia utafiti Gani kuilinganisha timu yako kiufundi na kimbinu dhidi ya yanga? Vitu Kama hivi ndio uwa vinafanya mashabiki wengi kuzimia baada ya mechi husika kutokana na kuukimbia ukweli ilimradi tu ni shabiki wa timu fulani ataki kusema ukweli kwamba ataonekana anamsifia mpinzani, but timu yako Kama ni Bora aiitaji mpaka ufanye Kipimo Cha utra sound ndio ionekana!
 
jidanganye,ukichoka kajambe
 
Ukimuwa utaacha ujinga na mawazo ya kijima
 
Uzuri mwenge hauruki kijiji. Zamu yako itafika na inawezekana Red Arrows ana timu nzuri kupita yako.
 
Unamaanisha unachokiongea ama bila kushurutishwa na mtu yeyote na bila mihemko ya kishabiki? Umetumia utafiti Gani kuilinganisha timu yako kiufundi na kimbinu dhidi ya yanga? Vitu Kama hivi ndio uwa vinafanya mashabiki wengi kuzimia baada ya mechi husika kutokana na kuukimbia ukweli ilimradi tu ni shabiki wa timu fulani ataki kusema ukweli kwamba ataonekana anamsifia mpinzani, but timu yako Kama ni Bora aiitaji mpaka ufanye Kipimo Cha utra sound ndio ionekana!
Wakitandikwa hiyo tarehe 8 lazima wataongelee kuhusu majini kunawatu kichwani bado sana, (they have low thinking capacity) hawawezi kutafsiri matukio kwa fikra chanya
 
Mashabiki wengi ni hawajui Mpira wanadhani ukiwa ndio siku ya timu ndio lazma timu iyo ishinde sio kweli kama ni lengo unawezachkua timu yoyote yenye viwango vya chini Ili ushinde ,lengo kuu ni kutambulisha wachezaji pia kuangalia mfumo na vilevile ,kuangalia mapungufu ya timu sio kukamia Ili ushinde ,hichi ni kitu ambao mashabiki wengi wanashindwa kuelewa na timu ambazo zonafungwa huchkua tahadhari mapema,nikiangalia msimu ulioisha yanga alifungwa goal 3 na coach aliona madhaifu ya kikosi chake na kupanga vizuri ,naamini Simba akija kukutana na APR watakuwa wamerekebisha madhaifu Yao vilevile yanga akija kukutana Tena na red arrows haitakuwa rahisi kutokana na mapungufu na namna walizofanya kutatua hizo changamoto
 
Back
Top Bottom