devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Dah Inasokotea mbele 😂😂😂 kiswahili lugha yetu.Inakaa vizuri sana kwakuwa inasokotea mbela kama 3S/4S ya rav4
Kunaweza kuwa na marekebisho madogomadogo ya eNGINE mounting na Control box (probably na CV-joints)
Ikikaa maisha yanasonga saaana
yah Mkuu maana yake inatumia front wheel haina Difu wa la propelaDah Inasokotea mbele 😂😂😂 kiswahili lugha yetu.
Na akifunga kama ni auto kuna uwezekano gia baadhi zikagoma igamlazimu na gia box abadilisheInakaa vizuri sana kwakuwa inasokotea mbela kama 3S/4S ya rav4
Kunaweza kuwa na marekebisho madogomadogo ya eNGINE mounting na Control box (probably na CV-joints)
Ikikaa maisha yanasonga saaana
Akiamua kufunga hiyo injini mara nyingi atatakiwa abadilishe gearbox au angalie "bela housing" kama itamechi na matundu ya injini ya 7A anayotaka kuiwekaNa akifunga kama ni auto kuna uwezekano gia baadhi zikagoma igamlazimu na gia box abadilishe
Short chesis rav 4Kufunga engine ndogo kwenye gari inayotumia engine kubwa huwezi kumpromise performance?
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
yah Mkuu maana yake inatumia front wheel haina Difu wa la propela
Kiswahili cha mtaani kwetu huku Idifu
Labda kama ni 4WDHaina propeller ila Diff inayo.
Engines are more or less the sameKufunga engine ndogo kwenye gari inayotumia engine kubwa huwezi kumpromise performance?
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Body ya Rav 4 short chesisHaiwezi kuwa na performance nzuri body ya Rav 4 ni nzito haiwezi kusukumwa na cc ndogo kama hizo
Labda kama ni 4WD
Ila kama sio haina DIFF YA NYUMA
Ok mi nlikua nazunguzia kitu kingineMimi nazungumzia Diff kama diff. Sijacategorize kama ni ya nyuma au ya mbele.
Hakuna gari isiyokuwa na diff. Kwa gari zinazoendeshea mbele diff ipo integrated kwenye gearbox.