Engine 5A cc 1490 kuwekwa kwenye RAV 4 short chasis

Engine 5A cc 1490 kuwekwa kwenye RAV 4 short chasis

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wana JF habari,

Naomba kuuliza engine ya 5a cc 1490 kuwekwa kwenye body ya fav 4 short chesis. Je, gari inaweza perfom vizuri? Na nn madhara yake
 
Inakaa vizuri sana kwakuwa inasokotea mbela kama 3S/4S ya rav4

Kunaweza kuwa na marekebisho madogomadogo ya eNGINE mounting na Control box (probably na CV-joints)

Ikikaa maisha yanasonga saaana
 
Inakaa vizuri sana kwakuwa inasokotea mbela kama 3S/4S ya rav4

Kunaweza kuwa na marekebisho madogomadogo ya eNGINE mounting na Control box (probably na CV-joints)

Ikikaa maisha yanasonga saaana
Na akifunga kama ni auto kuna uwezekano gia baadhi zikagoma igamlazimu na gia box abadilishe
 
Na akifunga kama ni auto kuna uwezekano gia baadhi zikagoma igamlazimu na gia box abadilishe
Akiamua kufunga hiyo injini mara nyingi atatakiwa abadilishe gearbox au angalie "bela housing" kama itamechi na matundu ya injini ya 7A anayotaka kuiweka
 
Back
Top Bottom