wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,203
BENZ..Unaijua ACTROS ww au ....
Ndio kampuni ya Taqwa wanayo mengi wenyewe wanapiga route za Transit tu hawafanyi local.Hivi bongoland kuna bus za nissan?
kwa hao manufacture uliolist Nissan ud yaweza kuwa boraInajulikana scania Ndio wana engine bora zinazodumu Kwnye mazingira tofaut
Je ukiachana na scania je injini ipi bora kuanzia uwezo mpk kudumu kati ya hizi
1/ Volvo
2/nissan UD
3/Mitsubishi
NAOMBENI mawazo yenu
Hivi bongoland kuna bus za nissan?
yaap madereva wengi wanazisifu kuwa zinahimili fresh usifanye mchezo chuma inaanza safari lubumbash inatoboa NairobiNdio kampuni ya Taqwa wanayo mengi wenyewe wanapiga route za Transit tu hawafanyi local.
Shukran kaka.Ndio kampuni ya Taqwa wanayo mengi wenyewe wanapiga route za Transit tu hawafanyi local.
Sijawahi ziona.Zipo
Ila nasikia Nissan wana terms ngumu kwenye biashara nasikia ndio sababu iliomfanya summry atoke njianHivi bongoland kuna bus za nissan?
Terms Kama zipi?Ila nasikia Nissan wana terms ngumu kwenye biashara nasikia ndio sababu iliomfanya summry atoke njian
wanadai spare lazima uagize kwa authorized dealer ambae wamekudirect na hawataki vitu vya kuunga unga incase wakagundua wanakata mkataba bei ya spea za Nissan c unajua kk ngoja nikae kimya.Though ni story za garage wengine wanadai Nissan ud kuna miaka walisimama kutengeneza hizo bus zaoTerms Kama zipi?
So ume claim scania onlyUnaijua ACTROS ww au ....
Kwa uelewa wangu nahisi Nissan ud wanatengeneza trucks na bus ambazo sio heavy duty ni bus ambazo ni kama daladala kwa matumizi ya mjin lakn sio kwenye truck truck wanazo za kila aina. kwa maelezo wanadai huwa wao wanaunda kwa special orders. hapo wanakuuzia chassis ambayo ipo complete ina engine gia box diff yaan ni gari bila body kwa mkataba kuwa spea zote utanunua toka kwao Mali yako hayo ni hio chassis na diff .sasa nasikia engine zao zipo poa ila spea zinawaka moto kibiashara sometimes ni hasira. so wakikuuzia wewe kazi kwako kupeleka kwa wachonga body.ukizingua tu mfano utie jiko la scania gia box yakwao wanakata mkataba na weweTerms Kama zipi?
Ila nasikia Nissan wana terms ngumu kwenye biashara nasikia ndio sababu iliomfanya summry atoke njian
Kwa uelewa wangu nahisi Nissan ud wanatengeneza trucks na bus ambazo sio heavy duty ni bus ambazo ni kama daladala kwa matumizi ya mjin lakn sio kwenye truck truck wanazo za kila aina. kwa maelezo wanadai huwa wao wanaunda kwa special orders. hapo wanakuuzia chassis ambayo ipo complete ina engine gia box diff yaan ni gari bila body kwa mkataba kuwa spea zote utanunua toka kwao Mali yako hayo ni hio chassis na diff .sasa nasikia engine zao zipo poa ila spea zinawaka moto kibiashara sometimes ni hasira. so wakikuuzia wewe kazi kwako kupeleka kwa wachonga body.ukizingua tu mfano utie jiko la scania gia box yakwao wanakata mkataba na wewe