Engine ipi ni bora kwa malori au mabasi

Engine ipi ni bora kwa malori au mabasi

Inajulikana scania Ndio wana engine bora zinazodumu Kwnye mazingira tofaut

Je ukiachana na scania je injini ipi bora kuanzia uwezo mpk kudumu kati ya hizi

1/ Volvo
2/nissan UD
3/Mitsubishi

NAOMBENI mawazo yenu
kwa hao manufacture uliolist Nissan ud yaweza kuwa bora
 
Mitsubishi fuso na canter 6d na 4d series nazo ni nyoko! Zimewakomboa wengi
 
Terms Kama zipi?
wanadai spare lazima uagize kwa authorized dealer ambae wamekudirect na hawataki vitu vya kuunga unga incase wakagundua wanakata mkataba bei ya spea za Nissan c unajua kk ngoja nikae kimya.Though ni story za garage wengine wanadai Nissan ud kuna miaka walisimama kutengeneza hizo bus zao
 
Terms Kama zipi?
Kwa uelewa wangu nahisi Nissan ud wanatengeneza trucks na bus ambazo sio heavy duty ni bus ambazo ni kama daladala kwa matumizi ya mjin lakn sio kwenye truck truck wanazo za kila aina. kwa maelezo wanadai huwa wao wanaunda kwa special orders. hapo wanakuuzia chassis ambayo ipo complete ina engine gia box diff yaan ni gari bila body kwa mkataba kuwa spea zote utanunua toka kwao Mali yako hayo ni hio chassis na diff .sasa nasikia engine zao zipo poa ila spea zinawaka moto kibiashara sometimes ni hasira. so wakikuuzia wewe kazi kwako kupeleka kwa wachonga body.ukizingua tu mfano utie jiko la scania gia box yakwao wanakata mkataba na wewe
 
Ishu mm naitaji kujua performance spare zitanunuliwa hta temeke
 
Back
Top Bottom