Engine ipi ni bora kwa malori au mabasi

Engine bora kwa Malori na Mabasi ni Man Diesel,Mercedes Benz, Nissan Diesel UD, Isuzu FVR, Weichai Cummins shamba la bibi
 
Ukinzungumizia gari ZENYE injini Bora basi scania na benzi ni baba lao

Scania
Benzi
Across
How
Faw
Man
Daf

Kuna Hizi Chuma wanaziita freightliner na international ukifunga jiko unasahau kama ulifunga jiko ni Chuma haswa Huyo scania asubiri ila kibongo bongo scania babalao
 

WANASEMA MAN NA NISSAN UD ENGINE MKATABA
 
Freightliner wanatumia CATERPILLAR, CUMMINS na DETROIT.

sasa ni ipi hapo ukifunga inakuwa mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…